Timu ya FIFA ina kasoro, je ya UEFA?

Timu ya FIFA ina kasoro, je ya UEFA?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,707
Reaction score
1,729
Hapa nchini pana wanaojiita wataalam wa soka kwa kuangalia sana DSTV (super sport) na kujifanya wako juu ya wataalamu wa soka wa FIFA kwa kuikosoa timu yake ya 2012 kwa kutochagua tu wachezaji wanaochezea EPL, sasa UEFA nayo imetoa kikosi chake cha 2012 ambamo hakuna mchezaji wa EPL!

Uefa Team of the Year 2012: Iker Casillas (Real Madrid), Sergio Ramos (Real Madrid), Gerard Pique (Barcelona), Thiago Silva (AC Milan/Paris St-Germain), Philipp Lahm (Bayern Munich), Andres Iniesta (Barcelona), Xavi Hernandez (Barcelona), Andrea Pirlo (Juventus), Mesut Ozil (Real Madrid), Lionel Messi (Barcelona), Cristiano Ronaldo (Real Madrid).

Punguzeni ukasuku, mtu timamu hutafuta ukweli ulipo.
 
Hiyo ua uefa ni sahihi zaidi kuliko ya fifa sielewi kwanini fifa hawakumchagua Thigo silva na Pirlo
Wana vigezo vyao. Hushangai timu hiyo ya FIFA kukusanya wachezaji wanaochezea Ulaya pekee na kuacha Afrika, Marekani (kusini/kaskazini/kati) na Asia? Mie nawaponda hawa wachambuzi uchwara waliotengezwa na DSTV kutaka wachezaji wa EPL wawemo!!!!!!!!!!!!!
 
Timu si mbaya ila Iker Casillas (Real Madrid), Sergio Ramos (Real Madrid) ni wa kawaida sana wapo wazuri kuliko hao
 
Du! Naona kampeni against Ligi ya Uingereza imepamba moto.

Yaani mpaka sasa sioni kwa nini watu kama Kompany na Ashley Cole hawapo.

How Sergio Ramos and Gerard Pique are better defenders than Kompany, I really don't know.

Ila Pirlo alistahili kuwepo kwenye timu ya dunia. Jamaa anaweza kucheza mpira na glass iliyojaa wine mkononi bila kumwaga hata tone.

Despite all that the Premiership still remains the most competitive league in the world.

Competitive doesnt mean is the best even uganda premier league is competitive bt nt the best
 
Hapa nchini pana wanaojiita wataalam wa soka kwa kuangalia sana DSTV (super sport) na kujifanya wako juu ya wataalamu wa soka wa FIFA kwa kuikosoa timu yake ya 2012 kwa kutochagua tu wachezaji wanaochezea EPL, sasa UEFA nayo imetoa kikosi chake cha 2012 ambamo hakuna mchezaji wa EPL!

Uefa Team of the Year 2012: Iker Casillas (Real Madrid), Sergio Ramos (Real Madrid), Gerard Pique (Barcelona), Thiago Silva (AC Milan/Paris St-Germain), Philipp Lahm (Bayern Munich), Andres Iniesta (Barcelona), Xavi Hernandez (Barcelona), Andrea Pirlo (Juventus), Mesut Ozil (Real Madrid), Lionel Messi (Barcelona), Cristiano Ronaldo (Real Madrid).

Punguzeni ukasuku, mtu timamu hutafuta ukweli ulipo.

Watu hawalalamiki kuhusu wachezaji wa EPL kuwepo ,tunataka wachezaji waliofanya vizuri 2012 ndio wawepo afadhali ya hii kuliko ile ya FIFA.Dani Alves,Marcelo,Gerard Pique,Xabi Alonso hawakustaili kabisa kuwa kwenye hiyo timu
 
Kwa Mara ya kwanza Mourinho umeandika madini nikayakubali.
Kumbe sometymes zinafunga kichwani eeh?

Doh! Am not biased kama wewe, kwenye ukweli will say it kama ulivyo, kwangu mimi football comes first, ushabiki wa team au mchezaji utafuata later.
Ila wewe ukweli ukipingana na mapenzi na ushabiki wako inakua taaabu,yatakutoka mapovu hapo kama una kifafa!

Now back to the bussiness, wale defenders watatu wa Juventus na Italia, Andrea Barzagli, Leonardo Bonucci na Giorgio Chiellini, nadhani walikua bora kuliko defending partnership yoyote ile ulaya for the past season na ndio maana walimaliza season unbeaten in the league na Italia ilifika fainali ya Euro, but where r they kwenye Fifa IX or Uefa IX?

Casillas naye yupo hapo kisiasa tu, kadrop sana amebaki kuwa mpika majungu tu,kama siku za mwisho za Raul
 
wapi Falcao...EPL hakuna issue wale matangaazo mengi tu hakuna lolote
Hawajifunzi tu toka kwa mchezaji Kaka na sasa kocha Pep! Wagumu kweli kweli yawezekana wanalipwa hawa.
 
Doh! Am not biased kama wewe, kwenye ukweli will say it kama ulivyo, kwangu mimi football comes first, ushabiki wa team au mchezaji utafuata later.
Ila wewe ukweli ukipingana na mapenzi na ushabiki wako inakua taaabu,yatakutoka mapovu hapo kama una kifafa!

Now back to the bussiness, wale defenders watatu wa Juventus na Italia, Andrea Barzagli, Leonardo Bonucci na Giorgio Chiellini, nadhani walikua bora kuliko defending partnership yoyote ile ulaya for the past season na ndio maana walimaliza season unbeaten in the league na Italia ilifika fainali ya Euro, but where r they kwenye Fifa IX or Uefa IX?

Casillas naye yupo hapo kisiasa tu, kadrop sana amebaki kuwa mpika majungu tu,kama siku za mwisho za Raul
Tatizo langu kwa FIFA ni kupendelea sana Ulaya na kuacha mabara mengine.
 
Back
Top Bottom