TIMU Magufuli tukutane hapa

TIMU Magufuli tukutane hapa

Hao wapinzani wana nini zaidi ya kuwa na ilani mbovu inayobebwa na mgombea mgonjwa? Asanteni Watanzania kwa kuamua kumchagua Magufuli
 
Hao wapinzani wana nini zaidi ya kuwa na ilani mbovu inayobebwa na mgombea mgonjwa? Asanteni Watanzania kwa kuamua kumchagua Magufuli
We ngeke kwani unazima gani acha kuongea upuuzi
 
Hao wapinzani wana nini zaidi ya kuwa na ilani mbovu inayobebwa na mgombea mgonjwa? Asanteni Watanzania kwa kuamua kumchagua Magufuli
Awe mgonjwa,mzee huyo ndo chaguo letu..Makufuli ndo nani? LOWASSA HADI KUFA...
 
teh teh teh teh,mnajitekenya wenyewe,mnacheka wenyewe,:hurt:😛eace:😛eace:,:focus:,Gambaz mna jipya au ndio uongo ule ule wa miakia yote???
 
Ccm washukulu mbowe kaamua kuuza chama kwa ccm b lkn kama angeacha slaa mbona tungeona nyeti za kuku mwaka huu
 
Et mwaka huu wapinzani wana kazi,ccm mna kazi nyie maana ndiyo mko madarakani.
 
Nyie endeleeni kupeleka wanafunzi kwenye militano yenu na malori alafu mseme,mwaka huu wapinzani wana kazi hahahahaaaaa
 
CCM hoi bin taabani,kila mtu analaumu,JPM analalamika na kwa mfumo wa ccm haiwezekani.Weka mbali na wananchi!
 
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.

Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...

Wasalaaam

tunaunganaje sasa mkuu
 
Back
Top Bottom