mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,626
Kuna ushauri mwingine vigumu kuandika humu kiwazi utanyakwa na upinzani watu wengi waishio nja ya nchi ujuzi upo katika haya mambo mengi ya kampeni hata za nje ya nchi na ni wa Tanzania hata kushauri kwenye ma group kama hatsapp na viber etc
kama kuna e-mail au acc kwenye social media zilizo za kweli mwageni humu mrushiwe mazuri mawaidha teleteleeee ya kuzidi kupanda ngazi bila tabu
kama kuna e-mail au acc kwenye social media zilizo za kweli mwageni humu mrushiwe mazuri mawaidha teleteleeee ya kuzidi kupanda ngazi bila tabu