kumbe ulitaka kiongoz akutume ww?Kiongoz atutumikie sio kutumikiwa.na kwa sasa tpo kati yan magufuli anafaa kwa utendaj alaf lowassa anatumiwa kuisambaratisha ccm ...Watu ni walewale tu.TUnnane oct 25 2015.
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.
Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...
Wasalaaam
Wakuu tuko pamoja kwenye kujenga Tanzania Mpya na CCM Mpya
Kama kweli unamjua Magufuli vizuri hupaswi kudharau KIPAJI alichonacho tafakari halafu jiongeze.
Wasioweza kulipia nauli ya pantoni sh 200 na wapige mbizi.
Huyu Kibwengo mkimpeleka kuomba kura Kigamboni msije kutulaumu mkipopolewa mawe. pumbafu wewe lofa sana tht's why
Kama kuna group la whaats up la magufur 2unganishane
Kama kuna group la whaats up la magufur 2unganishane
Matola it is not fair khaaKama kuna group kama hilo litakuwa limejaa washirikina tupu.
Matola it is not fair khaa
Wewe jiandae kisaikolojia tunawaombea ccm mje kuwa chama imara cha upinzani, cha kusikitisha watu wenye akili kama Mwandosya wameshachoka kesho Mwandosya anatambulishwa jangani pamoja na mzee Kingunge.
Ccm ikipona uchaguzi huu sitoamini tena kama kuna Mungu nitajiunga na Atheist.
Kingunge ni jogoo wa kuchora mchukueni tu. Kwanza tushamkata kwenye ukamanda....akauze ngada na mwanae south
ccm kaa tayari ushindi unakuja