Ubuntuwize
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 312
- 93
Magufuli na mkubali sana kuliko kawaida....el hakuna kitu hapo ni mbovu hadi afya..
poleni mwaka huu mmeangukia pua.
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.
Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...
Wasalaaam
ccm na magufili watashinda uchaguzi kwa 56% ya kura zote
Magufuli na mkubali sana kuliko kawaida....el hakuna kitu hapo ni mbovu hadi afya..
Sio mmepoa tu.Team magufuli mbona tumepoa hivi? Huko Facebook a naongelewa tingatinga kwa kwenda mbele. Mnakubali kufunikwa na ......waserengeti?
Aliyekuambia mimi ni CCM nani?., Kumuunga mkono magufuli si mpaka uwe mwanachama wa ccm hivyo mimi Kikwete si mwenyekiti wangu na ccm si chama changu na silisemi hili kwa woga wala unafiki, na kama ningekuwa mwana ccm nisingeona haya ya kusema kwani hata pia kuwa ccm si dhambi.
Mkuu tangu atajwe magufuli ambaye ni kabila lako kuwa mgombea fasta umehamia ccm wakati ulikuwa cdm! Njaa hizi zitatuua! Tuache ukabila,tusimamie tunachokiamini!Mie siko whatsapp kakini ni mdau mkubwa wa itikadi za kimaendeleo za mgombea wetu Magufuri, sasa tusio whtsapp tunakaaje ili nasi tufit? much thanx!
ccm na magufili watashinda uchaguzi kwa 56% ya kura zote