Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,723
Na wakibisha waje na fact na sio porojo za kwenye vijiwe vya kahawaKuna watu watabisha.
🥇🥇🥇🥇🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆Wakishakuwa bora wewe kuliko simba unapata nini kupitia hilo
Wote hao ukiwapeleka Senegal hawachukuliwi hatammojaTakribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa;
Tanzania;
Bakari nondo mwamnyeto
Dicksoni jobu
Kibwana shomari
Mudathir yahya
Feusal salum
Ibrahim baka
Metacha mnata
Zambia;
Kenedy musonda
Kongo;
Fistoni kalala mayele
Burkinafaso;
Stephen Aziz ki
Uganda;
Kharid aucho
Mali;
Djigui diarra
Kwa maana iyo yanga ndiyo timu bora kwa sasa Africa mashariki na kati kwakuwa ndio timu iliyoongoza kwa kutoa wachezaji wengi katika timu za taifa za mataifa bora katika soka la africa, kongole Wananchi🙌🙌🙌
Misimu iliyopita mlifanya hivyo hivyo, je unaweza kuniambia mlichofaidika nacho?Sasa sisi tuliotoa wachezaji wanne wa kikosi bora cha wiki kwenye ligi ya kiume (Cafcl) na wachezaji wawili wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa Caf tusemeje ??,, emu jaribuni kukaa kimya mnajichoresha ..
Daah uto mnatumia nguvu nyingi sana kuonekana ni wakubwa yaani badala ukubwa wenyewe uwafuate automatically nyie ndo mnalazimisha?Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa;
Tanzania;
Bakari Nondo Mwamnyeto
Dicksoni Jobu
Kibwana Shomari
Mudathir Yahya
Feusal Salum
Ibrahim Baka
Metacha Mnata
Zambia;
Kenedy Musonda
Kongo;
Fistoni Kalala Mayele
Burkina Faso;
Stephen Aziz Ki
Uganda;
Kharid Aucho
Mali;
Djigui Diarra
Kwa maana hiyo Yanga ndiyo timu bora kwa sasa Afrika Mashariki na Kati kwakuwa ndio timu iliyoongoza kwa kutoa wachezaji wengi katika timu za taifa za mataifa bora katika soka la Afrika, kongole Wananchi
Vipo vingi mno,, je unaweza kuniambia mnafaidika nini kupeleka hayo magalasa yenu national teamMisimu iliyopita mlifanya hivyo hivyo, je unaweza kuniambia mlichofaidika nacho?
Kwamba katika wachezaji wa kigeni waliosajiliwa Simba, ni mchezaji mmoja tu ndio mwenye hadhi ya kuchezea timu ya taifa. Wengine hamna kituyanga acheni kijichoreshamalooser mnajifariji kwa mambo yakawaida sana.
Simba wametoa mchezaji Kwenda timu yataifa namba moja afrika hawongei Sana
nyie wenu wauswekeni huko mnaazisha na nyuzi kabisa maamae
kunakitu mnatamani muwe nacho sema ndoivyo sio liziki yenu.
sakoooooooooooo-timu no moja africa naharingi Wala Niniingekuwa nyie nasherehe mngemfanyia
Ndio mkuu ilaunaonaje kimataifa tunavyo kiwasha?Kwamba katika wachezaji wa kigeni waliosajiliwa Simba, ni mchezaji mmoja tu ndio mwenye hadhi ya kuchezea timu ya taifa. Wengine hamna kitu
Vipo vingi vitaje. Halafu ndio uje uniulize hilo swali lako. Taja mlichonufaika navyo.Vipo vingi mno,, je unaweza kuniambia mnafaidika nini kupeleka hayo magalasa yenu national team
Yah mnajitahidi sana kufika robo fainali. Hivi timu zinazobeba kombe wao wanatakiwa kusemaje na wao?ndio mkuu.ilaunaonaje kimataifa tunavyo kiwasha?
Nimabingwa zaidi yet nasisi tunaenda huko.Yah mnajitahidi sana kufika robo fainali. Hivi timu zinazobeba kombe wao wanatakiwa kusemaje na wao?
Kwamba nyie ni mabingwa, na wao ni mabingwa zaidi yenu?nimabingwa zaidi yet nasisi tunaenda huko.