Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

Kuna documentary flani niliangalia youtube wanaongelea Time Travellers.

Kuna picha ambayo ilipigwa miaka ya 1980's ukumbini kwenye pambano la Tyson. Kwenye ile picha inaonekana jamaa amevaa miwani ya toleo la miaka ya 2010's

picha nyingine imepigwa mwaka 1926 London uzinduzi wa daraja, kwenye hiyo picha akaonekana jamaa amevaa Tshirt inayobana mwili na ina logo kifuani ya miaka ya sasa hivi.

Kuna video ya charlie champlin yule alikuwa muigizaji mashukuru wa vichekesho ile video ilirekodiwa miaka 1920's cha kustajaabisha kwenye hiyo video anaonekana dada ameshika simu ya kufunua wakati kipindi hicho kulikuwa hamna simu za kigachani.

Kwahiyo kuna binadamu ambao wanasafiri kurudi nyuma na kwenda mbele. Mtu anaweza kutoka mwaka 2060 akaja mwaka 2019 kuangalia show ya Jay z akasepa zake.

Swali linabaki kama kweli hii kitu ipo wanasafirije?

kama ni kifo sidhani yaani mtu anakufa 2019 anazaliwa tena 2060 au vice versa duh labda kama mtu anakufa sayari hii anaenda kuzaliwa sayari nyingine hahahaha

Pia naamini kabisa kwamba binadamu hatupo wenyewe kwenye ulimwengu huu naamini kabisa kuna solar system nyingi, dunia kibao ulimwenguni watu wanaishi kama sisi tunavyoishi.

NASA walitoa waraka kwamba kwenye vyombo vyao wanaona sayari zinazofanana na dunia ila kufika huko chombo kitachukua miaka milioni 20
Mkuu unanishawishi niongelee kitu kinachoitwa Multi Universe.. sema nikiongea hapa tutazidi kuachana gizani. Matukio ya hvyo kuhusu picha zinapigwa afu intakea jambo lisilo la kawaida kwenye picha nadhani yako mengi.. baadhi yameelezwa kwenye nyuzi humu. Naomba tu siku Time Travelling ikiwa possible watu wote waliosoma uzi huu wawe hai
 
Kuna documentary flani niliangalia youtube wanaongelea Time Travellers.

Kuna picha ambayo ilipigwa miaka ya 1980's ukumbini kwenye pambano la Tyson. Kwenye ile picha inaonekana jamaa amevaa miwani ya toleo la miaka ya 2010's

picha nyingine imepigwa mwaka 1926 London uzinduzi wa daraja, kwenye hiyo picha akaonekana jamaa amevaa Tshirt inayobana mwili na ina logo kifuani ya miaka ya sasa hivi.

Kuna video ya charlie champlin yule alikuwa muigizaji mashukuru wa vichekesho ile video ilirekodiwa miaka 1920's cha kustajaabisha kwenye hiyo video anaonekana dada ameshika simu ya kufunua wakati kipindi hicho kulikuwa hamna simu za kigachani.

Kwahiyo kuna binadamu ambao wanasafiri kurudi nyuma na kwenda mbele. Mtu anaweza kutoka mwaka 2060 akaja mwaka 2019 kuangalia show ya Jay z akasepa zake.

Swali linabaki kama kweli hii kitu ipo wanasafirije?

kama ni kifo sidhani yaani mtu anakufa 2019 anazaliwa tena 2060 au vice versa duh labda kama mtu anakufa sayari hii anaenda kuzaliwa sayari nyingine hahahaha

Pia naamini kabisa kwamba binadamu hatupo wenyewe kwenye ulimwengu huu naamini kabisa kuna solar system nyingi, dunia kibao ulimwenguni watu wanaishi kama sisi tunavyoishi.

NASA walitoa waraka kwamba kwenye vyombo vyao wanaona sayari zinazofanana na dunia ila kufika huko chombo kitachukua miaka milioni 20

Na kuna pambano la Tyson mtu alikuwa anapiga picha na simu ya mkononi huku nyakati hizo simu za mkononi hakuna
 
hilo pambano ulilionaje kama halikurekodiwa na camera..?

kama kamera za kurekodi zilikuepo na zikarekodi pambano na wewe ukaliona kwarekodi hiyo, vipi ISHINDIKANE KUWEKO KWA SIMU ZENYE KUREKODI KAMA CAMERA ZILIKUWEPO...?
 
hivi mkuu unaamini vipi bila kuhoji.

kama iliwez3kana kuwepo Kwa cameza za kumrikodi chali champlini vipi ishindikane kuwepo kisimu cha kufunuaa...?

yani waweze kutengeneza camera ambayo inarekodi matukio mpaka sasa unayaona alafu washindwe kutengeneza kasimu ka kufunua tu...?
 
hilo pambano ulilionaje kama halikurekodiwa na camera..?

kama kamera za kurekodi zilikuepo na zikarekodi pambano na wewe ukaliona kwarekodi hiyo, vipi ISHINDIKANE KUWEKO KWA SIMU ZENYE KUREKODI KAMA CAMERA ZILIKUWEPO...?

Dah huwa sina energy na watu wanaopenda kubisha mradi wabishe
hiyo habari hadi kuwa news sio jambo dogo
picha ilikuwepo tu kwa mda hadi lipochunguzwa ndo ikaonekana kuna mtu kashika simu anapiga picha
but those days hakukuwa na simu za mkononi wachilia mbali simu zenye camera
 
Technology ziko za ajabu sana

mfano hologram..ni toka mwaka 2008...mtu yuko mwanza unamleta Dar unaongea nae..
cnn walifanya live siku ile Obama anachaguliwa...

Juzi nimeona mtu anavaa nguo halafu anapaa kwenye BBC hatari sana
 
Dah huwa sina energy na watu wanaopenda kubisha mradi wabishe
hiyo habari hadi kuwa news sio jambo dogo
picha ilikuwepo tu kwa mda hadi lipochunguzwa ndo ikaonekana kuna mtu kashika simu anapiga picha
but those days hakukuwa na simu za mkononi wachilia mbali simu zenye camera
kama kulikuweko na camera pia na redio(labda) kwa nini ishindikane simu kuweko na kutemgenezwa nyakati hizo...?
 
Dah huwa sina energy na watu wanaopenda kubisha mradi wabishe
hiyo habari hadi kuwa news sio jambo dogo
picha ilikuwepo tu kwa mda hadi lipochunguzwa ndo ikaonekana kuna mtu kashika simu anapiga picha
but those days hakukuwa na simu za mkononi wachilia mbali simu zenye camera
Ndio kawaida yake huyu mbishi hatari..
 
Ndio kawaida yake huyu mbishi hatari..
mkuu mtu akihoji mnamnyima uhuru kwammba mbishi mbona hivyo wakuu.

mimi nimeuliza tu kwamba kama kulikuwepo na camera ambayo ilikuwa inarekodi matukio ya wakatj huo mpaka yeye akaona sasa hivi vipi kwa wakati huo huo ishindikane kuwepo simu yenye camera ambayo inaweza kurekodi pia tukio ?

waweze kutengeneza camera na redio nyakati hi,zo alafu ustaajabu kadimu kenye camera ?
 
Dah huwa sina energy na watu wanaopenda kubisha mradi wabishe
hiyo habari hadi kuwa news sio jambo dogo
picha ilikuwepo tu kwa mda hadi lipochunguzwa ndo ikaonekana kuna mtu kashika simu anapiga picha
but those days hakukuwa na simu za mkononi wachilia mbali simu zenye camera
Kulikua na vifaa vya kurekodia Vile vya kizamani

Huyo jamaa aliyekuuliza hilo swali kanishangaza sana

Yaani kanishangaza mno !
 
Mzee hakukua na simu hebu elewa basi
kusema tu kwamba hakukuwa na simu alafu ukataka nielewe sio vizuri hivyo mkuu.
kuna baadhi ya mambo mtu anahoji kwa uelewa wake apate jawabu stahiki kabisa.

yani camera wakati huo zilikuwepo, pengine na redio za kudaka mawasiliano. na picha zikarekodiwa kupitia camera hiyo.

sasa kama hivyo viliwezekana kwa nini iwe ajabu kwa wakati huo kuweko Kwa simu zenye camera za kurekodia..?

ninachotaka kusema ni kwamba hiyo hoja haipaswi kuweka kTika hoja ambazo zinatetea time travelling. ni hoja dhaifu kabisa.

ni Sawa na mtu kuoneahwa picha ya camera ya kwanza kutengenezwa pasi na kujiuliza kama hiyo ni ya kwanza vipi ipigwe picha.

muhimu tusitukanane na kuvunjianaadabu, lakini kutaka kila kinachosemwa na watu fulani kikubalike moja kwa moja kama unavyokubali wewe hilo sioni kama tutakuwa na maelewano mazuri baina yetu.
 
Kulikua na vifaa vya kurekodia Vile vya kizamani

Huyo jamaa aliyekuuliza hilo swali kanishangaza sana

Yaani kanishangaza mno !
kushangaa kwako mkuu hakuna athari yeyote kwangu nadhani hata mimi nawashangaa ninyi pia.
 
kusema tu kwamba hakukuwa na simu alafu ukataka nielewe sio vizuri hivyo mkuu.
kuna baadhi ya mambo mtu anahoji kwa uelewa wake apate jawabu stahiki kabisa.

yani camera wakati huo zilikuwepo, pengine na redio za kudaka mawasiliano. na picha zikarekodiwa kupitia camera hiyo.

sasa kama hivyo viliwezekana kwa nini iwe ajabu kwa wakati huo kuweko Kwa simu zenye camera za kurekodia..?

ninachotaka kusema ni kwamba hiyo hoja haipaswi kuweka kTika hoja ambazo zinatetea time travelling. ni hoja dhaifu kabisa.

ni Sawa na mtu kuoneahwa picha ya camera ya kwanza kutengenezwa pasi na kujiuliza kama hiyo ni ya kwanza vipi ipigwe picha.

muhimu tusitukanane na kuvunjianaadabu, lakini kutaka kila kinachosemwa na watu fulani kikubalike moja kwa moja kama unavyokubali wewe hilo sioni kama tutakuwa na maelewano mazuri baina yetu.
Nisikilize vifaa

Vya kurekodia vya zamani vilikua on analogie form

Mfano mrahisi hakukua na ku editi ngoma ukirekodi umesharekodi

System ya simu za sasa na vifaa vya zamani vya kurekodia ni vitu viwili tofauti

Tafadhali sana
 
Hahahaaa unalo.. naona kaamua kukukaba na maswali
Mkuu amenishangaza sana

Sababu mfumo wa simu kuwekwa kamera ni wa hivi karibuni haswa

Na mfumo wa camera za zamani uko tofauti sana

Sasa nakuogopa kumweleza huyu bwana deep zaidi tutaanza kuonekana wajuaji
 
Back
Top Bottom