Time Travel: Je, linaweza kuwa suluhisho la kifo?

Mzee nasaka masters sa hivi kwenye ishu za neuro

Hizi ndo comment za mwisho ntapotea humu miaka
ukifika hapo kwenye kudistinguish kati ya real na illusion nambie mkuu make "what is real" ? imekuwa ni ngumu kueleweka

Soma kuhusu Quantum neural network nadhani utajua what is real and perhaps our bodies save as avatar of our conscious awareness....
 
ukifika hapo kwenye kudistinguish kati ya real na illusion nambie mkuu make "what is real" ? imekuwa ni ngumu kueleweka
Hahaha poa

Sikia sasa mkuu

Hebu niambie vitabu vingine vya kusoma
Kuhusu haya mambo kama unaweza nsaidia

Nisaidie na pdf zake
 
Neural quantum network ni ngumu kuielewa but inabaki kama individual persective...

No one can tell you the way reality looks, also what you know can't explain but you feel it.
(morpheus)
IMG_20190809_115339.jpeg
 
ingia google andika "drive pdf" kisha andika Neural quantum network pdf kwa begginers inawafaa sana....just use resource zilizopo katika ealry phases katika kujifunza utaelewa mengi mkuu.....
Nshachukua asante

Ngoja nikipata muda mdogo mdogo ntavipitia

Je kuna lingine la kunishauri kiongozi wangu ?
 
Back
Top Bottom