Tiles & Bati Bei ya Jumla

G12

Senior Member
Aug 31, 2012
156
0
Wadau poleni kwa ufupi wa Tangazo.
Mosi, tuna import na export bidhaa kuja China na kutoka nchi mbalimbali, ikiwapo Tanzania. Tupo nchini China.
Tunatafuta wadau wa kudumu watakaokuwa tayari kununua bidhaa zetu na kutuuzia bidhaa zao kwa bei nzuri.
Part A:
Tuna export bidhaa nyingi, kama vile Tiles( chooni, bafuni, vyumbani, n.k) na Bati(zenye migongo mipana ) za rangi mbali mbali. Tunazo bidhaa nyingi, lakini tunapendelea kupata wadau wa bidhaa za ujenzi kwanza.
Bei zipo katika makundi ya aina mbili:

  1. Bei ya hapa China
  2. Bei ya Tanzania.
Unawezachagua kundi la bei unalotaka wewe kulingana na uhitaji wako.
Hatuuzi kwa reja reja.

Part B:
Tunakaribisha wadau wa uhakika wanaweza ku supply mbao, korosho, vinyago & ngozi za ngombe na wanyama pori.
Tupatie bei zako kupitia PM.
Mnakaribishwa.
 
sithole

JF-Expert Member
Mar 13, 2012
306
250
Mkuu sio tangazo hilo!sema upo wapi,tiles za wapi?china,spain,usa,UAE,pia bati za aina gan?migongo mipana?za kawaida?funguka mkuu!sie tunashabikia tangazo kumbe upo Iraq!
 
CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,118
2,000
Wadau poleni kwa ufupi wa Tangazo.
Mosi, tuna import na export bidhaa kuja China na kutoka nchi mbalimbali, ikiwapo Tanzania. Tupo nchini China.
Tunatafuta wadau wa kudumu watakaokuwa tayari kununua bidhaa zetu na kutuuzia bidhaa zao kwa bei nzuri.
Part A:
Tuna export bidhaa nyingi, kama vile Tiles( chooni, bafuni, vyumbani, n.k) na Bati(zenye migongo mipana ) za rangi mbali mbali. Tunazo bidhaa nyingi, lakini tunapendelea kupata wadau wa bidhaa za ujenzi kwanza.
Bei zipo katika makundi ya aina mbili:

  1. Bei ya hapa China
  2. Bei ya Tanzania.
Unawezachagua kundi la bei unalotaka wewe kulingana na uhitaji wako.
Hatuuzi kwa reja reja.

Part B:
Tunakaribisha wadau wa uhakika wanaweza ku supply mbao, korosho, vinyago & ngozi za ngombe na wanyama pori.
Tupatie bei zako kupitia PM.
Mnakaribishwa.
Nime ku PM mkuu.
 
Qulfayaqul

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
480
225
Ku- PM maana yake ni kumtumia Private Message- Click kasa katika jina lake then utaona Private Message then click hiyo Private message itafunguka box ambayo utatuma msg ambayo itaenda directly katika private message box yake ambayo ataisoma peke yake ESTERAA
 
Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,296
0
Wadau poleni kwa ufupi wa Tangazo.
Mosi, tuna import na export bidhaa kuja China na kutoka nchi mbalimbali, ikiwapo Tanzania. Tupo nchini China.
Tunatafuta wadau wa kudumu watakaokuwa tayari kununua bidhaa zetu na kutuuzia bidhaa zao kwa bei nzuri.
Part A:
Tuna export bidhaa nyingi, kama vile Tiles( chooni, bafuni, vyumbani, n.k) na Bati(zenye migongo mipana ) za rangi mbali mbali. Tunazo bidhaa nyingi, lakini tunapendelea kupata wadau wa bidhaa za ujenzi kwanza.
Bei zipo katika makundi ya aina mbili:

  1. Bei ya hapa China
  2. Bei ya Tanzania.
Unawezachagua kundi la bei unalotaka wewe kulingana na uhitaji wako.
Hatuuzi kwa reja reja.

Part B:
Tunakaribisha wadau wa uhakika wanaweza ku supply mbao, korosho, vinyago & ngozi za ngombe na wanyama pori.
Tupatie bei zako kupitia PM.
Mnakaribishwa.

Ngozi na Mbao zinapatikana kwa wingi, nyie mnanunua kwa bei gani na uhitaji wenu ni kiasi gani say kwa mwezi, na hiyo bidhaa mnanunua ikiwa Tanzania au China? inbox please
 
G12

Senior Member
Aug 31, 2012
156
0
Mkuu mbao gani unanunua?

Mbao za kutengenezea sofa, viti, vitanda, kabati, n.k

Tunashauri zile katika kiwango kizuri kwasababu international business partners wana consider sana viwango.

Shukrani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom