Tiktok

Tiktok

So unaelewa hao live streaming ndio wanapewa donations na fans sasa huyo hajui
na hio ni ndogo kuna mademu wale wana kaa uchi wana make even 100$
Hela ya Tiktok ni unapewa na followers sasa kama anafikiria kuwa ni hela ipo tu hewani 😂😂😂 hapo kazingua.

Anatakiwa aelekezwe kuwa ili apate.hela ya Tiktok awe strategically hasa kwenye followers wake.

Anatakiwa awasome followers wa Tiktok na afahamu ni followers wa nchi gani wanatabia ya kuwa gift tiktokers akishafahamu sasa aanze kukomaa nao kwa kuwa follow na ahakikishe wana follow back, then aanze ku share nao videos zake inbox ili awavute kumtembelea (hapo bado hatapata shilingi maana silingi ni hadi uwe live)

Sasa akishatengeneza fan base yake aanze kwenda live huku aki sharelive yake na hao followers sasa, ikiwezekana awe na simu mbili au tatu zenye Acc tofauti za tiktok, yaani hii anaenda luve hizi mbili ana share live yake. (Akomae kiasi awe serious)

Sasa hapo bado lazima aunganishe hiyo Acc ya Tiktok na visa ili akiwa gifted apate maokoto.

Kikubwa aweke contents zinazomhusu yeye sio picha za wakina Ronaldo mara Messi kifupi awe real asiwe parody ili ajenge trust ya fans wake wasihisi ni fake.

Akiamua anaweza akawa anaenda live kwebye issue za utalii labda utalii wa ndege au wadudu au hata historia au utamaduni uzuri bongo contents ambazo ni interested zipo nyingi sana so atafute hizo zilizo unique na on field kabisa.

Pia ajue lugha ya kiingereza, itamsaidia zaidi japo si lazima ila hashtags awe nazo na title ya live ziwe sawa na contents.

Ila ajue bando hapo sio chini ya 10k kwa siku so ajitafakari anaweza au anatamani tu.

Ila its very possible na haiitaji uvivu wala uzembe wakijinga awe sharp.
 
How much does TikTok pay per view?
Top creators have revealed that TikTok pays between $0.02 and $0.04 per 1,000 views through the Creator Fund program.

8 ways to start making money on TikTok
  1. Join the TikTok Creativity Program. Users who've built up a substantial following might consider making money through the TikTok Creativity Program. ...
  2. Sell merch. ...
  3. Go live for virtual gifts. ...
  4. Affiliate partnerships. ...
  5. Create in-feed ads. ...
  6. Crowdfund projects. ...
  7. Collect tips. ...
  8. Patreon subscriptions.
Kila la heri Mkuu, wengine humu ni kula kulala, hawana idea yoyote Kichwani, wengine ni Wakulima huko Mpwapwike, huwa wanasikia tu Youtube wanalipa, facebook wanalipa, na kuna wengine ndo wanajua leo kuwa Tik tok pia wanalipa!

Wasikuvunje Moyo.
Hakuna shortcuts na Bongo Serekali imewapiga Pin kuanzia YouTube kwasababu wanajua vijana mkiachiwa m-download Pesa hamtofanya kazi mtashinda tu mtandaoni basi unapata followers unapata likes unapata Pesa sio Bongo shika jembe ukalime au hamia Kenya ukacheze TikTok ukishindwa vaa dela tutingishie matako

We have a lot of ideas, huo ujinga wa TikTok kibongobongo unawalipa wale wanaotambulika tu na wanalipwa na makampuni kuwatangazia bidhaa zao online km ilivyo Instagram mchawi follower wewe anakutambua nani sio rahisi km mnavyochukulia
 
ba
Hela ya Tiktok ni unapewa na followers sasa kama anafikiria kuwa ni hela ipo tu hewani 😂😂😂 hapo kazingua.

Anatakiwa aelekezwe kuwa ili apate.hela ya Tiktok awe strategically hasa kwenye followers wake.

Anatakiwa awasome followers wa Tiktok na afahamu ni followers wa nchi gani wanatabia ya kuwa gift tiktokers akishafahamu sasa aanze kukomaa nao kwa kuwa follow na ahakikishe wana follow back, then aanze ku share nao videos zake inbox ili awavute kumtembelea (hapo bado hatapata shilingi maana silingi ni hadi uwe live)

Sasa akishatengeneza fan base yake aanze kwenda live huku aki sharelive yake na hao followers sasa, ikiwezekana awe na simu mbili au tatu zenye Acc tofauti za tiktok, yaani hii anaenda luve hizi mbili ana share live yake. (Akomae kiasi awe serious)

Sasa hapo bado lazima aunganishe hiyo Acc ya Tiktok na visa ili akiwa gifted apate maokoto.

Kikubwa aweke contents zinazomhusu yeye sio picha za wakina Ronaldo mara Messi kifupi awe real asiwe parody ili ajenge trust ya fans wake wasihisi ni fake.

Akiamua anaweza akawa anaenda live kwebye issue za utalii labda utalii wa ndege au wadudu au hata historia au utamaduni uzuri bongo contents ambazo ni interested zipo nyingi sana so atafute hizo zilizo unique na on field kabisa.

Pia ajue lugha ya kiingereza, itamsaidia zaidi japo si lazima ila hashtags awe nazo na title ya live ziwe sawa na contents.

Ila ajue bando hapo sio chini ya 10k kwa siku so ajitafakari anaweza au anatamani tu.

Ila its very possible na haiitaji uvivu wala uzembe wakijinga awe sharp.
ndo la 10k 😂 Mademu wanaweza ngumu kwa wanaume anae jitafuta Wifi kwa mwenz ni 70k
 
Umekunywa bapa kubwa au Ndogo? Yaan unasema awasumbue alafu hausemi awasumbue watanzania unasema awasumbue wakenya alafu hapo hapo huyo mtu yupo Tanzania sio Kenya na bado unasema rahisi mnafikiri kila kitu ni mtelemko tu yaan uamke leo ujiunge TikTok kesho upo kwenye ATM tusingesikia wakenya wakilalamika ugumu wa maisha, punguza kilevi
Mkuu, wewe haujui Tiktok na sidhani kama hata una Acc tiktok. Wewe unaongelea nadharia tu za kijima.

Nipo Tiktok na naifuatilia sana Tiktok japo kwa shughuli zangu tofauti ila kwa Tiktoker yoyote akisoma nilichoandika anajua ninachomaanisha.

Wabongo wapo nyuma sana Tiktok sababu ya uoga usio na maana na pia wabongo hawa gift na wanao gift ni wachache sana na wana gift kwenye live za hao wakenya unaowashangaa ili wapate promo na kuongeza followers.

Jielimishe Mkuu mambo ni possible sana, na haimaanishi kuwa kijana ni mvivu au hataki kazi ngumu. Dunia imebadilika.

Jasho unatakiwa utoke gym tu sio kazini Mkuu 😂
 
Back
Top Bottom