Tiktok

Tiktok

aisee vijana , mkuu umesema umaskini utauua kwa njia zozote .
My advice nenda Google wameweka details zao zote kuhusu hizo requirements
 
Vijana wanaopenda mtelezo hawataki kufanya kazi za kuchosha mwili wakati dada zao wanajibinua huko TikTok na mwili unashughulikiwa pia sasa watembee na mafuta na wao watalipwa na TikTok
 
Kitu cha kwanza uwe na Audience (followers 10k-100k and above)
uwe na video views Kama 100k na kuendelea Katika siku 30

Sasa kwa nchi kama Tanzania kwasabu tiktok creator fund iko Europe na america bas unaweza ingiza ela kwa ku run Matangazo na kujza vitu au unaweza ku pata donations kwa wale wanao kufollow lkn kwa nchi kama hii wenye urahisi kupata ela kwenye hizo njia ni wanawake hasa

mm nina rafik yangu huwa anatengeneza kati ya $500 hadi 1000$ na huwa ananionesha kabisa withdraws za PayPal lkn huwa hatoi moja kwa moja kuna jama yuko USA ana wezesha hela hizo yeye kuzipata

kwa wew mwanaume labda uwe content guru mkali san yan leta vitu authentic san

ALL the best
 
We Boya ndio unakaa kubishania likes za TikTok pale kijiwe nongwa? Mnakaa kwenye WiFi ya bure kutwa nzima mpo TikTok mkitegemea mtalipwa hamna kazi mnafanya kutwa nzima TikTok useless kabisa
Inaonekana una kitu brooo utafkaaa mbaliiii
 
Kitu cha kwanza uwe na Audience (followers 10k-100k and above)
uwe na video views Kama 100k na kuendelea Katika siku 30

Sasa kwa nchi kama Tanzania kwasabu tiktok creator fund iko Europe na america bas unaweza ingiza ela kwa ku run Matangazo na kujza vitu au unaweza ku pata donations kwa wale wanao kufollow lkn kwa nchi kama hii wenye urahisi kupata ela kwenye hizo njia ni wanawake hasa

mm nina rafik yangu huwa anatengeneza kati ya $500 hadi 1000$ na huwa ananionesha kabisa withdraws za PayPal lkn huwa hatoi moja kwa moja kuna jama yuko USA ana wezesha hela hizo yeye kuzipata

kwa wew mwanaume labda uwe content guru mkali san yan leta vitu authentic san

ALL the best
Thanks brother
 
Thanks brother
Wasalimie sana hapo kijiweni kwenu unafikiri ni rahisi? Sukuma hata mkokoteni Ukishindwa uza Chupa za maji hela za mtandaoni sio rahisi km unavyofikiri usijue ukadata mwisho utasilimu amri, paypol ushawahi Iona ina-operate bongo?
 
Mbn kuna watu wengi wanagenerate income
 
Back
Top Bottom