Tiktok

Tiktok

First of all, Tik Tok ni ujinga na upuuzi kwa mwanaume. Second una idea gani na content gani? Tik Tok wanaoingiza pesa ni nje tu hasa wanawake kwa dancing, twerking, singing labda na upuuzi mwingine. na wanaume labda comedy za kujidharirisha. Na ndio maana nasema tiktok ni upuuzi sababu hakuna cha maana, watumiaji wengi ni wanawakenna watoto, na kutengeneza pesa kwa Mtanzania mwanaume ni almost impossible.

Njia bora ya kutengeneza pesa kwa Tanzania ni youtube angalau. Na uwe na content zenye akili either kwa kiswahili au kingeereza. Ila kama unajua kingeereza kile fluent basi inakuwa rahisi kidogo. Kwa mfano mimi naongea fluent American English. Nilijaribu kutengeneza short kuongelea topic fulani kwa kiingereza then nikapata views 1700 na 2 subscribers immediately, na views wangu wote wametokea USA, UK, Germany na India sema nikaachana nayo sababu sina muda. Na kitu kizuri kuhusu youtube ni kwamba kila unavyozidi kupost consistently ndio unavyozidi kupata more views sababu the youtube algorithm inakuwa ina soma aina ya content yako na kupush kwa watu sahihi.

Malipo ya youtube ni kwamba kutegemea na niche yako na traffic yako baada ya kukizi vigezo vya monetization ni sio chini ya 0.5$ mpaka 1$ kwa 1000 views, ila kama traffic yako ni kutoka nje kama mimi basi sio chini ya 1$ mpaka 6$ per 1000 views. Means kama ukiwa na bahati ya kupata views at least 100,000 per video means haukosi 300$ mpaka 600$ au kwa tsh ni laki 6 mpaka million 1.2 per video, sasa itategemea una upload video gani kwa siku na niche yako ni kubwa au maarufu kiasi gani. Mfano niche yangu watu wanaofanya kama mimi hawakosi views 500,000 mpaka 1,000,000 a day. It's fuking incredible.

So ushauri wangu ni kuwa na idea solid, then fanya youtube. Ila ukweli ni kwamba Tik Tok ni upuuzi kiujumla.

Break the matrix Bro
 
Ukute ni jobless na analeta kiburi cha kijinga.

Very sad.
Kiazi kikuu wewe huna akili yaan hujawahi kulipwa na TikTok alafu unaaminisha watu ujinga wako, bladful wahedi kabisa imebidi nitumie lugha ya maudhi sababu unatuona Sisi km mazombi tusiojua chochote kuhusu internet money stupid
 
Umeongea Point safi also na kazia apo kwenye Youtube

Malipo yake ni mazuri kulingana na maada , Aina ya views Hapa we talk about Age ya view why? kama unaongelea mikopo bas space unayo uza kwajili ya Ads ili iwe ya thaman ni lazm viewer awe 35 years n above

pia eneo analo toka viewers mfano ukiongea kuhusu morgage & credit score au insurance kwenye nchi za dunia ya kwanza kama america na europe hizo zina Value kubwa san

Hio kwa uchache🎯 we 2geza
 
Mkuu umewahi kuzaa?, ukikuta watu wanasema mwanamke hazai bali anataga wewe utawaambia nini hao watu ili kuondoa ujinga wao?

Kufahamu jambo sio lazima ulifanye, wewe unajua kuwa mwanamke ana zaa na hatagi ila wewe mwenyewe hujawai kuzaa wala kutaga.

Shukrani kwa matusi yako, uongezewe ulipoyapunguza.
 
Break the matrix Bro
Matrix gani nini hujaelewa kasema Mwanaume kutoboa TikTok ni mtiti labda ungekua Mwanamke labda km upo tayari kujidhalilisha km yule fyatu anaecheza na simu toy isiyo na mawasiliano alafu habadirishi nguo
 
Screenshot malipo yako kutoka TikTok acha maneno mengi
 
Em
Umeongea Point safi also na kazia apo kwenye Youtube

Malipo yake ni mazuri kulingana na maada , Aina ya views Hapa we talk about Age ya view why? kama unaongelea mikopo bas space unayo uza kwajili ya Ads ili iwe ya thaman ni lazm viewer awe 35 years n above

pia eneo analo toka viewers mfano ukiongea kuhusu morgage & credit score au insurance kwenye nchi za dunia ya kwanza kama america na europe hizo zina Value kubwa san

Hio kwa uchache🎯 we 2geza
Naomba elimu ya kitu hapo, hivi yuotube nao hawahitaji video za ukubwa fulani ili uwe unapatikana kiurahisi?

Mfano google wao wanataka article ya maneno almost 1500 ili uweze kupatikana kwenye search yao haraka.

Ila wasi wasi wangu kwa huyu mdau ni je ataweza kuwa na video quality ya kufanya mtu aangalie video zake?, angeweza ningemwambia afanye kama podcast ila mtaji hapo simuoni sana
 
Matrix gani nini hujaelewa kasema Mwanaume kutoboa TikTok ni mtiti labda ungekua Mwanamke labda km upo tayari kujidhalilisha km yule fyatu anaecheza na simu toy isiyo na mawasiliano alafu habadirishi nguo
Yeye kanielewa kwanini nimemwambia hivyo ndio maana ameishia kucheka.

Sasa wewe haujaelewa, sababu una upeo mdogo wa mambo umeamua kudakia juu juu.

Mkuu hivi wewe ni hopeless kiasi hichi cha kutokumfahamu hata Andrew Tate sio bure unabishabisha hovyo.

Ungekuwa unamfahamu Tate usingeshangaa why nimesema break the matrix and real you should Mkuu.
 
Em

Naomba elimu ya kitu hapo, hivi yuotube nao hawahitaji video za ukubwa fulani ili uwe unapatikana kiurahisi?

Mfano google wao wanataka article ya maneno almost 1500 ili uweze kupatikana kwenye search yao haraka.

Ila wasi wasi wangu kwa huyu mdau ni je ataweza kuwa na video quality ya kufanya mtu aangalie video zake?, angeweza ningemwambia afanye kama podcast ila mtaji hapo simuoni sana
video youtube lazma iwe na quality nzuri na ni vyema kama ina dakika 10+
 
Yeye kanielewa kwanini nimemwambia hivyo ndio maana ameishia kucheka.

Sasa wewe haujaelewa, sababu una upeo mdogo wa mambo umeamua kudakia juu juu.

Mkuu hivi wewe ni hopeless kiasi hichi cha kutokumfahamu hata Andrew Tate sio bure unabishabisha hovyo.

Ungekuwa unamfahamu Tate usingeshangaa why nimesema break the matrix and real you should Mkuu.
yuko vizur jama
 
video youtube lazma iwe na quality nzuri na ni vyema kama ina dakika 10+
wasi wasi wangu ndio upo hapa sana, maana anaweza akawa na content nzuri ila quality ikamfanya asiaminike au hata asiangaliwe kabisa na wadau.

Maana kuna mtu video ikishakuwa na mchele mchele tu ana skip chapu, mimi mmoja wao.

Ila akiwa anajiweza nadhani ni sehemu nzuri, maana hatakuwa na ulazima wa kwenda live so ataweza kupangilia vizuri contents zake pia.

Ni yeye tu sasa
 
Yeahswala huwa ni aina ya maaada mtu anaenda nayo na analenga kina nani
 
Bora kwenda kuvua samaki kwenye kingo za fukwe hutoki bure. Kupata followers wengi lazima uwe mbunifu sana la sivyo utatweza utu kwa kipande cha pesa
 
Hahaha kumbe unaongelea the real tate ambae alisema kama wew ni maskini na unatoka tanzania ni sawa tu
Hahah, huyo huyo Mkuu.
Nimemuona mdau hapo juu anatumia jina lake nimecheka kinoma.

Nikiona mtu anamfahamu Andrew Tate naamini yupo active kujifunza mambo ya hii dunia yanavyoenda.
 
Back
Top Bottom