Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok ๐.
TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! ๐ฎโ๐จ๐ฑ๐ฅkwa kuongezea Vipengele vipya kama vile:
๐๏ธ Voice Comments โ badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde 60. Kipengele hiki kinaanza kusambazwa duniani kwa akaunti za miaka 18+.
๐ Comment Polls โ creator anaweza kuweka poll kwenye comment ya video yake, akiwa na hadi chaguo 5, na followers wapige kura moja kwa moja.
๐ผ๏ธ Photo Carousel Comments โ unaweza kuweka hadi picha 9 kwenye comment moja, badala ya picha moja.
๐ธ Live Photo Comments โ Live Photo inaweza kuonekana ikiwa na muda mfupi wa movement badala ya kuwa picha tuli tu. Kipengele hiki kinapatikana kimataifa.
Kwa creators, hii ni game changer kabisa ๐๐ฅ Comment section sasa inaweza kuwa sehemu ya content yenyewe!
๐ Wewe ungependa kutumia feature ipi kwanza? ๐