TigoPesa kukaa kimya wakiwa na pesa zetu, tunashindwa kufanya miamala na hawatoi maelezo

Smartbeing

JF-Expert Member
Apr 7, 2014
323
422
Hili la ndugu zetu Tigo kukaa kimya wakiwa na pesa zetu, tunashindwa kufanya miamala na hawatoi maelezo mapema kwa walaji, Waziri ulifanyie kazi.

Napendekeza kila mwenye fedha TigoPesa apewe gharama za usumbufu 3% ya kiasi alichonacho katika account
 
Wasiokuwa na fedha Tigopesa nao wanapokea pesa ulifikiri hiko.
 
Naishukuru sim banking lasivyo ningeumbuka. Tigo wanakwaza halafu hata message in advance mtu ujipange hakuna.
 
Mimi ndiyo nimeona sasa hivi kuwa haipo hewani ingawa mpunga nilikuwa nishautoa ila naunga mkono pendekezo lako mkuu la 3%
 
Tigo wametulostisha sana kiukweli, hovyo kabisaa
 
Yan hawa jamaa wanautani tangu Jana hakuna linalofanyika mchana huu napata sms et "tigo inakutakia heri ya siku ya karume " bado hawatambui hasara walotupatia tangu Jana watoe asilimia 3
 
Hili la ndugu zetu Tigo kukaa kimya wakiwa na pesa zetu, tunashindwa kufanya miamala na hawatoi maelezo mapema kwa walaji, Waziri ulifanyie kazi.

Napendekeza kila mwenye fedha TigoPesa apewe gharama za usumbufu 3% ya kiasi alichonacho katika account
Ndugu Mteja, huduma za Tigo Pesa hazipatikani kwa sasa kutokana na tatizo la kiufundi. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
 
Back
Top Bottom