Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Tigo kwa kweli mnakera sana, nimemtumia mtu laki 2 leo, mimi nimekatwa elfu moja na yeye ili atoe laki 2 kamili imebidi nimuongezee elfu 4500....so nimetuma laki 2 04500....ukijumlisha na ile elfu 1 unapata 5500 ambayo ndyo Total ya makato yenu. Hapana hii si haki mnatuumiza sana wananchi