Tigo spidi bila kikomo wameiharibu kabisa !

Tigo spidi bila kikomo wameiharibu kabisa !

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,694
Reaction score
2,588
Bundle ya Spidi bila kikomo ya wiki imetoka 10GB ikaenda 8GB na sasa nilikiwa nataka kununua nikakuka ni 2GB tu!!! Kwa wiki nzima yaani haileti hata maana 6000 for 2GB bora ununue zile za daily za 900MB kwa buku.Back to Vodacom I go !
 
Airtel asee iko safi sana na OMG hakuna shida ela kidogo na internet fasts.
 
  • OMG ya airtel nadhani ni alternative nzuli
  • *148*88#
  • Kifurushi cha wiki ni 11GB kwa tsh 6'000 / 6GB kwa tsh 2'500 / 3.5B kwa 1'700
Bundle ya Spidi bila kikomo ya wiki imetoka 10GB ikaenda 8GB na sasa nilikiwa nataka kununua nikakuka ni 2GB tu!!! Kwa wiki nzima yaani haileti hata maana 6000 for 2GB bora ununue zile za daily za 900MB kwa buku.Back to Vodacom I go!!
 
hivi kuna watu bado wanatumia Tigo kwa internet na wako Dar na hawapati kero yoyote?

Mm wameniumiza sana hawa jamaa mpaka naogopa hata kununua chao chochote kile
 
duh, hii mitandao ya simu sasa hivi ni wizi mtupu na wanafanya wanavyotaka, kila kukicha gharama za simu zinazidi kupanda tena wanapandisha kijanja kama hauko makini huwezi kujua, tigo na voda wameshusha dakika za vifurushi tigo kutoka dakika 24 mpaka kumi na tisa na voda hivyo hivyo, hivi TCRA hawaoni au hawasiki
 
kaka hata waweke dakika 1 shilingi 10,000 its up to them sisi haituhusu wakipandisha tutahama mtandao kosa wanalolifanya ni kutotoa taarifa. wanatutumia message za matangazo kila siku bila kukosa wanashindwaje kumtumia message kuwa tumebadilisha kiasi cha mb/dk/sms tunazotoa?
 
hivi kuna watu bado wanatumia Tigo kwa internet na wako Dar na hawapati kero yoyote?

Mm wameniumiza sana hawa jamaa mpaka naogopa hata kununua chao chochote kile
Mi naish sehem mbil tofaut,,,location A:ni nje ya mji kigdo,,, tigo iko vzur cjapat ona ((hap ni both bandl za kawaid & zle shrtcut ze2))
Location B:ni katkat ya mji kabxa,,tigo iko vbaya kulik hata bol/smart ambao bado wanatoa edge kwa dar.
 
maisha ya internet na bundle za simu kwa tz bado ni kwikwi sana...
 
Washenzi hawa..mimi nilinunua kwao hizi huawei zao mpya(e303h) ni shidaaa..
Network inasumbua kama nini. Nimewarudishia leo,wakanipatia nyingine ila nayo yale yale.

Inaconnect kisha inafungua pages mbili-tatu inapotea,wakati bado iko connected na network inaonekana iko full.
Nikitumia modem nyingine kwa line hiyo hiyo ya tigo inapiga kazi kama kawaida.

This is bullshit..natarajia kwenda kugombana nao tena next weekend nitakapokuwa niko free.
 
kweli kaka, sema tu hatuna kimbilio coz mitandao yote wamefanya hivyo hata voda wamepunguza, kutoaka dakika 20 kuja kumi na tisa sasa za ajabu hatujasikia TCRA wakisema chochote juu ya hili swala......duh navumilia kuitwa mtanzania lakini sijivunii kuwa mtanzania
 
Bundle ya Spidi bila kikomo ya wiki imetoka 10GB ikaenda 8GB na sasa nilikiwa nataka kununua nikakuka ni 2GB tu!!! Kwa wiki nzima yaani haileti hata maana 6000 for 2GB bora ununue zile za daily za 900MB kwa buku.Back to Vodacom I go !

yani tigo na karibu mitandao yote kwa kweli hawana maana sasa..
angalia mabadiliko ya bundle ya bila kikomo ya mwezi
walianza hivi
35GB - 20,000Tshs
then
30GB - 20,000Tshs
and now
20GB - 30,000Tshs
jamani hivi kweli hii ni sawa, huu ni wizi na sema kwa kukimbilia hamna ndo maana wanafanya wanavyotaka.
spidi yenyewe kuwa nzuri ya kueleweka ni hadi saa 8 au 9 za usiku.
hawaogopi kupoteza customers kwa sababu wote wanafanya yale yale.
afadhali hii ya Airtel Switch ON wana bei nzuri na vifurushi ni bila kikomo
ila personally ni kwamba Area ninayokaa hapa Mwenge Airtel reception ya internet haipo vizuri kwa hiyo spidi inakuwa hainifai.
hili swala linaturudisha nyuma lakini linapuuziwa.
india wana spidi hadi 50Mbps right now wenzetu na bei ya ni rupees 1500 ,2000 au 1000 nadhani na hiyo hamna limit ya GB za kudownload kwa mwezi mzima. 1000rupees= 30,000Tshs roughly.
 
  • OMG ya airtel nadhani ni alternative nzuli
  • *148*88#
  • Kifurushi cha wiki ni 11GB kwa tsh 6'000 / 6GB kwa tsh 2'500 / 3.5B kwa 1'700
Wahamie airtel, bundle safi kama hizi, speed nzuri.
 
UPANDE WA ZANTEL WAMEKUJA NA HII

[TD="bgcolor: #FFFFFF"]2 GB
[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]2000[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]24Hrs[/TD]

[TD="bgcolor: #FFFFFF"]20 GB[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]12,000[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]Weekly[/TD]

[TD="bgcolor: #FFFFFF"]45 GB[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]25,000[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]Monthly
[/TD]
 
  • OMG ya airtel nadhani ni alternative nzuli
  • *148*88#
  • Kifurushi cha wiki ni 11GB kwa tsh 6'000 / 6GB kwa tsh 2'500 / 3.5B kwa 1'700
Basi watu wa sales wa Airtel hawajui kabisa biashara! Kuna siku nilienda pale J Mall kwa ajili ya kununua modem ya Airtel... bei yao sh.30K... anyway, sio mbaya! Nilipowaomba wanipe bei ya bundles, nikakimbia maana ni bei a ajabu sijapata kuona!!! Sio siri, ikabidi nisepe bila kusema kwamba kuna offer kama hizi!!!
 
UPANDE WA ZANTEL WAMEKUJA NA HII

[TD="bgcolor: #FFFFFF"]2 GB[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]2000[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]24Hrs[/TD]

[TD="bgcolor: #FFFFFF"]20 GB[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]12,000[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]Weekly[/TD]

[TD="bgcolor: #FFFFFF"]45 GB[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]25,000[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]Monthly[/TD]
Mnh... speed ipo vipi?
 
Bundle ya Spidi bila kikomo ya wiki imetoka 10GB ikaenda 8GB na sasa nilikiwa nataka kununua nikakuka ni 2GB tu!!! Kwa wiki nzima yaani haileti hata maana 6000 for 2GB bora ununue zile za daily za 900MB kwa buku.Back to Vodacom I go !

Tena unapojiunga uhakikishe umebakiwa na sh 20/- tu
 
Bundle ya Spidi bila kikomo ya wiki imetoka 10GB ikaenda 8GB na sasa nilikiwa nataka kununua nikakuka ni 2GB tu!!! Kwa wiki nzima yaani haileti hata maana 6000 for 2GB bora ununue zile za daily za 900MB kwa buku.Back to Vodacom I go !

Zantel 45GB kwa mwezi for 25000, nawaza nitaimalizaje!
 
Back
Top Bottom