Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
kwaheri tigo,na mmetuachia msamiati mpya kwenye kamusi yetu ya kiswahili.tigo(kwa mpalange)
kwaheri tigo,na mmetuachia msamiati mpya kwenye kamusi yetu ya kiswahili.tigo(kwa mpalange)
Anaekuja wapi? Hujasoma hapo kuwa wanahama Afrika moja kwa moja?Hapo matumbo joto maana anayekuja anaweza kubadlili jina hadi mifumo ikawa mipya
Ni celtel-zain-airtel bossDuuh......yale yale ya airtel, Zain......back to airtel
Nssf ? Wapange foleni ya nini tena wakati mkuu kasema imefilisika?Kwahiyo wafanyakazi wa millicom waanze kupanga foleni nssf..!?
Katoeni hela zenu huko msijesema sijawaambia hizi kamouni haimiliki hata fanichaHapo matumbo joto maana anayekuja anaweza kubadlili jina hadi mifumo ikawa mipya
Yaani mtu auze kampuni inayomiliki Tigo pesa? Haiwezekani, hiyo ni kubadilisha jina tu ili kukwepa kodi. Hawa walikuwa Mobitel, wakawa Buzz,wakaja Tigo, sasa sijui watakuwa nani..Kampuni ya Millicom International inayomiliki hisa za Tigo na Zantel, imepanga kuziuza kampuni hizo kwa ubia utakaoongozwa na Axian Group, kampuni ya mawasiliano yenye makao makuu yake jijini Antananarivo, Madagascar.
Kuuzwa kwa Tigo na Zantel, kunaifanya Millicom kukamilisha safari yake ya kujiondoa katika soko la Afrika ilikodumu kwa zaidi ya miaka 25 badala yake kuelekeza nguvu zake Amerika Kusini.
Axian Group, ni kampuni ya mawasiliano inayotoa huduma katika visiwa vilivyomo kwenye Bahari ya Hindi, Afrika na Ulaya. Huduma zake kwa sasa zinapatikana nchini Madagascar, Senegal, Togo, Visiwa vya Reunion na Mayotte pamoja na Comoro.
“Millicom inafuraha kumpata Axian ambaye ni mwekezaji wa kimkakati kuendeleza huduma za Tigo Tanzania pamoja na Zantel kupeleka huduma nafuu na za kibunifu kwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” imesema Millicom kwenye taarifa yake.
Mchakato wa kuhamisha umiliki utakapokamilika muda wowote ndani ya mwaka huu, Axian Group inatarajiwa kuwekeza dola 400 milioni (zaidi ya Sh920 bilioni) ndani ya miaka mitano ijayo.
“Tunapenda kuwahakikishia wateja wetu na umma kwa ujumla kwamba huduma zetu zitaendelea kuwa kama zilivyo mpaka tutakapopata uthibitisho kutoka mamlaka za usimamizi,” inasomeka sehemu ya taarifa ya Millicom.
Tigo ilianza kutoa huduma zake nchini mwaka 1995 na miaka 15 baadaye ikazindua huduma za fedha, Tigopesa. Mpaka mwishoni mwa Desemba 2020, Tigo ni kampuni ya pili kwa kuhudumia wateja wengi wa mawasiliano hata wa huduma za fedha ikiwa nyuma ya Vodacom
Mwananchi
Kutokana na ushindani na mwelekeo wa Biashara ya mawasiliano, yatabaki makampuni Mawili tu huko mbeniDuuh......yale yale ya airtel, Zain......back to airtel
Huu wizi JPM aliwanyoosha. Now unarudi kivingineYaani mtu auze kampuni inayomiliki Tigo pesa? Haiwezekani, hiyo ni kubadilisha jina tu ili kukwepa kodi. Hawa walikuwa Mobitel, wakawa Buzz,wakaja Tigo, sasa sijui watakuwa nani..
😟😟Nssf ? Wapange foleni ya nini tena wakati mkuu kasema imefilisika?
Itakuwa vizuri maana ni usumbufu sana, binafsi nilikuwa na laini moja tu miaka kadhaa.....ila bundles zimenisababisha nina laini 4,ila 3 navizia kwenye bundles za Internet tu basiKutokana na ushindani na mwelekeo wa Biashara ya mawasiliano, yatabaki makampuni Mawili tu huko mbeni
ha ha ha ha ha yani atakayenunua hii kampuni atafaidi sana manake wana customer base kubwa sana mi nilianza nayo tangu nikiwa shule enzi zile inaitwa BUZZkwaheri tigo,na mmetuachia msamiati mpya kwenye kamusi yetu ya kiswahili.tigo(kwa mpalange)
Enzi hizo kama nakumbuka vizuri muda ilikua kuanzia saa 3 usiku ni mwendo wa free calls tu mpaka kuchee!ha ha ha ha ha yani atakayenunua hii kampuni atafaidi sana manake wana customer base kubwa sana mi nilianza nayo tangu nikiwa shule enzi zile inaitwa BUZZ
kumbe na wewe muhenga mwenzanguha ha ha ha ha yani atakayenunua hii kampuni atafaidi sana manake wana customer base kubwa sana mi nilianza nayo tangu nikiwa shule enzi zile inaitwa BUZZ