Tigo mmepatwa na nini?

Tigo mmepatwa na nini?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Tigopesa haifanyi kazi karibu kutwa nzima ya leo. Mnajua usumbufu na maumivu tuliyopata wateja wenu?

Mnajua Serikali imekosa kiasi gani cha kodi kwa kutwa nzima? Nyinyi binafsi mmepoteza kiasi gani? Kwanini angalau hamkuomba hata radhi?

Kuweni serious hata kidogo.
 
Kwa nchi nyingine huduma kukosekana bila taarifa ni kosa kisheria, ila huku home sijajua...
 
Tigopesa haifanyi kazi karibu kutwa nzima ya leo. Mnajua usumbufu na maumivu tuliupata wateja wenu?

Mnajua Serikali imekosa kiasi gani cha kodi kwa kutwa nzima? Nyinyi binafsi mmepoteza kiasi gani? Kwanini angalau hamkuomba hata radhi?

Kuweni serious hata kidogo.
Ndugu mteja, huduma za TigoPesa hazipatikani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi,wataalamu wetu wanashughulikia tatizo hili. Tunaomba radhi kwa usumbufu.
 
Tigopesa haifanyi kazi karibu kutwa nzima ya leo. Mnajua usumbufu na maumivu tuliyopata wateja wenu?

Mnajua Serikali imekosa kiasi gani cha kodi kwa kutwa nzima? Nyinyi binafsi mmepoteza kiasi gani? Kwanini angalau hamkuomba hata radhi?

Kuweni serious hata kidogo.
Mimi wamenitumia massage ya kuomba radhi kwa usumbufu tulioupata leo Wateja wao wa tigo pesa
 
Tigopesa haifanyi kazi karibu kutwa nzima ya leo. Mnajua usumbufu na maumivu tuliyopata wateja wenu?

Mnajua Serikali imekosa kiasi gani cha kodi kwa kutwa nzima? Nyinyi binafsi mmepoteza kiasi gani? Kwanini angalau hamkuomba hata radhi?

Kuweni serious hata kidogo.
Duh balaa sana kama hapo Dar ni ngumu vipi huku Nanyumbu ama pale nakapanya?
 
Huku songea voda tangu jana intanet ya 3g haishiki... Ni mwendo wa 2g tu
 
Back
Top Bottom