Kutoomba radhi seems ni jadi yetu waTanzania. Kuanzia TANESCO, FastJet, AirTZ, PrecisionAir, ALL Banks you name it. Kwao wao ndo wafalme, mteja can go jump into the sea for all they care.
Samahani sana mnara wa kitaifa umefeli ....kweli kuanzia saa 7 mchana mpaka sasa hudumu ya tigopesa hakuna...... Tunaomba ladh,, tatizo linashughulikiwa
Samahani sana mnara wa kitaifa umefeli ....kweli kuanzia saa 7 mchana mpaka sasa hudumu ya tigopesa hakuna...... Tunaomba ladh,, tatizo linashughulikiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.