Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
Hivi karibuni nilishinda TZS 1,000,000 kwenye vocha kwaruza ya TIGO sasa nikaenda TIGO customer care centre pale opposite na Posta House, Ohio Street cha kushangaza wakasema hawawezi kushughulikia zawadi yangu kwa kuchukua kivuli cha kitambulisho changu kwani scanner yao imekufa.
Wakasema niende kwenye centre za Mlimani City au Gold Star lakini mie nakaa Upanga na nafanya kazi Town hivyo centre ya Ohio ndio convinient kwangu. Nikaenda tena pale baada ya one week, the same story, nikaenda pale baada ya another week the same story ikabidi nichome mafuta kwenda Gold Star centre pale napo hata scanner hawana mpaka ukatoe kivuli kwenye photocopy machine ya mtu binafsi ndio upeleke vielelezo vyako.
Nao pia wakachukua ile vocha na kujaza form na vivuli vya vitambulisho na bank account wakanieleza it will take another 3 to 4 weeks for my zawadi to be deposited kwenye account yangu na mpaka leo wiki ya tatu naisikilizia tu.
Hii inakera sana kwa sie wateja mtu unashinda zawadi then inabidi uisotee for weeks kweli hivi ndio mnavyo-operate kuwahamasisha wateja wenu?? Na je hiyo photocopy machine/ scanner ya ile centre yenu ya Ohio street mtai-fix lini na kwa kampuni kubwa kama TIGo kwa nini msinunue mpya ili muwahudumie wateja wenu ipasavyo??