Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 70,211
- 124,503
Natumia voda pia wamepandisha.Siyo kweli, mbona mitandao mingine ni nafuu, kwani hawa tigo wana uspecial gani
Natumia voda pia wamepandisha.Siyo kweli, mbona mitandao mingine ni nafuu, kwani hawa tigo wana uspecial gani
Mie waliondoa hiyo Offa kwenye laini yangu pendwa...nikasema weeh msinitanie nikasajili laini nyingine faster...Haha
mimi mwenyewe niko na laini 2 ila zote zinazo..!
Nilinunua buku mb 400 kufumba na kufumbua hamna kitu yaani washukuru nilitafuta panga langu sikuliona.🤣🤣🤣Jero unapewa Mb 50 tigo ni mbwa
Natupa Tigo naweka halo. Nimewahi nunua GB 2 Tigo Kwa elfu tano hata zilivyoisha sikuelewa. Huu mtandao umekuwa WA KIMAANDAZI kweli.Halotel nasubiri waje wajichanganye..
View attachment 1701702
Sh 10,000/= kwa 2.5GB!🤣🤣🤣Siwezi lipa hiviView attachment 1700181
Hii ndoo changamoto kubwa. basi wanaupuuzi mwingine.. ukituma sms nyingi ndani ya muda mfupi wanakuzuia kutuma kama masaa 2-6 hivi. wakati una kifurushi cha mwezi.Njoo halotel Kama ni kuperuzi tu,ila Kama ni kudownload ,utasubir mpaga ugalegale.mtandao unaenda kutembea ukirudi ,dk haipiti ushasepa tena
Hii ndoo changamoto kubwa. basi wanaupuuzi mwingine.. ukituma sms nyingi ndani ya muda mfupi wanakuzuia kutuma kama masaa 2-6 hivi. wakati una kifurushi cha mwezi.
Hii ndoo changamoto kubwa. basi wanaupuuzi mwingine.. ukituma sms nyingi ndani ya muda mfupi wanakuzuia kutuma kama masaa 2-6 hivi. wakati una kifurushi cha mwezi.
Hii ndoo changamoto kubwa. basi wanaupuuzi mwingine.. ukituma sms nyingi ndani ya muda mfupi wanakuzuia kutuma kama masaa 2-6 hivi. wakati una kifurushi cha mwezi.
Jisearch search utoe chochote mdogo wangu/Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde
Hawa Mimi nilivunja line nlikuwa najiunga bundle mtandao unashindwa fungus hata page ya if, halafu napokea sms bundle limeisha nikiwapigia wanasema nimelitumia, siku nyingine nimejiunga line nimeiacha kwenye kitoch lakn bado naambiwa bundle limeisha nikaona isiwe tabu nikaivunja.Halotel washakuw viazi ,yani hadi asubuhi hii mtandao naubembeleza Kama nao umelala,yani Niko serious Hawa jamaa ni konyo
Hawa ndio mtu na binamu yake .. bora halotel ingawa spid ndo hairidhishi baadhi ya maeneoKaribu vodaa
Iko poa kwenye just for you..!Hawa ndio mtu na binamu yake .. bora halotel ingawa spid ndo hairidhishi baadhi ya maeneo
Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde


Sijawah juta kutumia halotelNaona unasusia Mkojo na kujiandaa kwenda kukanyaga Kinyesi sasa Ndugu. Nani aliyekudanganya kuwa huko katika Mitandao mingine kuna Unafuu? Tumeipenda wenyewe na hapo bado.....!!!!
Hamia huku hakuna keroKuna mtandao ulikuwa unaitwa ZANTel bado upo? Labda nijaribu huko!