Tigo kwaherini

Tigo kwaherini

bora ubaki uko kama cm ukipga mnasikiana mana uku airtel unapewa gb 1 na dakika 100 kwa buku ila network utajua ww utaitoa wap mpaka kifurushi kinakata
Nilichogundua mitandao inategemea sana upo maeneo gani....nilipo mimi airtel nateleza tu kwa kweli.
 
Laini niliyonayo ni ya 4G na simu pia ni ya 4G, kutembea na simu mbili ndo sipendi,
Maana hizi laini ya tiGO huu ni mwaka wa 14,
Na laini ya Vodacom huu ni mwaka wa 9

Halotel,
TTCL,
Airtel (hii nataka nikaifutie usajiri kabisa ili wajue siwapendi)
Hizi hata miezi sita bado hazijafikisha
Usishindwe kuhama mtandao ati kisa umekaa na namba yao kwa muda mrefu. Kuna mobile number portability ,
Nimekaa na line ya tigo kwa miaka 15, ilipokuja mnp, nimekuwa mtu wa kuhama ninapoona pana vifurushi vizuri tu ,wakiniudhi nahama.
With mnp namba yote ni mali yako mteja hadi zile code nine za mwanzo na una uhuru wa kwenda nayo popote .
0712xxxxxx yangu kwa sasa ni halotel ila nimewahi kuwa airtel voda na ttcl
 
Mnp ni kitu kinawaumiza kichwa sana watu wa mitandao, maana mteja anahama na namba yote bila kupoteza kitu, bahati mbaya watu wengi hawajui hii huduma ndio wanaishia kulalamika tu mara tigo hivi , au voda vile
 
Nenda kwenye ukurasa wao wa facebook uandke hivyo watakufata wakubembeleze na kukuomba namba wanaweza wakakufanyia unafuu kwenye spesho ofa ili ubaki
 
Zantel najiunga elfu 20 GB 20 kwa mwezi mmoja. Ikikaribia mwezi kuisha inabidi kutumia kwa fujo ili ziishe mana naweza maliza mwezi bado nnazo.......

Kuna rafiki yangu juzi alinichekesha..... Ananambia kazira hataki tena kuunga MB za TIGO akiweka za elfu 20 wiki zishaisha. Anataka awahame
 
Usishindwe kuhama mtandao ati kisa umekaa na namba yao kwa muda mrefu. Kuna mobile number portability ,
Nimekaa na line ya tigo kwa miaka 15, ilipokuja mnp, nimekuwa mtu wa kuhama ninapoona pana vifurushi vizuri tu ,wakiniudhi nahama.
With mnp namba yote ni mali yako mteja hadi zile code nine za mwanzo na una uhuru wa kwenda nayo popote .
0712xxxxxx yangu kwa sasa ni halotel ila nimewahi kuwa airtel voda na ttcl
Mimi ni mjasiriatumbo boss vipi kuhusu wateja wangu watanipata kwa namba hiyo hiyo hata wakinitafutafuta kwenye namba za tiGO na Vodacom?
 
unaweza ukadaiwa madeni na tigo eti umekopa na hali hujakopa na waache mtindo wa kutuma meseji za kukopa
 
Mimi ni mjasiriatumbo boss vipi kuhusu wateja wangu watanipata kwa namba hiyo hiyo hata wakinitafutafuta kwenye namba za tiGO na Vodacom?
Mkuu namba ni mali yako , unahama nayo yote hupotezi kitu , na hamna mtu atakukosa hata huhitaji kuwaambia kuwa upo mtandao upi
Isipokuwa tu huduma za kifedha ndio itabidi uwaambi mtandao uliohamia ili pesa iende huko ,
 
Hii ndoo changamoto kubwa. basi wanaupuuzi mwingine.. ukituma sms nyingi ndani ya muda mfupi wanakuzuia kutuma kama masaa 2-6 hivi. wakati una kifurushi cha mwezi.
Nimekuta nalo mimi hilo wanakupiga pini zikienda sms kama 10 au zaidi ukiwapigia wanakwambia nitatizo lipo linapatiwa ufumbuzi, kumbe ni janja janja tu...nilivyogundua hilo line nikatupa kule
 
bora ubaki uko kama cm ukipga mnasikiana mana uku airtel unapewa gb 1 na dakika 100 kwa buku ila network utajua ww utaitoa wap mpaka kifurushi kinakata
tangu niamke sahizi ndo nimecheka. Unapewa 1gb & 100mns then network utafute mwenyewe. duh!
 
Sasa bwana Joseph labda fafanua,bifu la wewe na tigo limeanza kwenye ishu gani,Mimi jengo la tigo huwa napita tu sijui wana shughulika na Nini[emoji41][emoji41]
burudaniiiiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.

Mungu awalinde
Serikali kupitia waziri Faustin Kuna kikao nadhani ni mwezi huu... kuanzia mwez ujao mambo yakua safi.. [emoji28][emoji28]
 
Serikali na makampuni ya simu wakae meza moja waone namna ya kuwasaidia makampuni haya changamoto zinazowafanya wapandishe kila mara gharama za data, ikiweza itoe ruzuku au ipunguze kodi
Si walikaaa wakasema kuanzia mwezi wa 4 yatakua poa.. tunasubir
 
Nilkuwa wakala wa tigopesa. Siku moja nikaona line haisomi. Kuwapigia wanadai nafanya miamala michache kwa hiyo wamenifungia uwakala. Kwenye till kulikuwa na 97,500, wakasepa nayo.nimejaza fomu mara 3 kufuatilia na sijapata mwaka 6 sasa.
Hawa siyo wezi?
 
Back
Top Bottom