Love bug
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 219
- 215
duh pole mkuuAirtel gb12 ziliisha kwa siku moja nikahama siku iyoiyo
duh pole mkuuAirtel gb12 ziliisha kwa siku moja nikahama siku iyoiyo
Yani ckumbuki line yangu Tigo ipo wap na cna mpango tena wa ku2mia Tgo kwa ubwege wao wanaotufanyia..Voda na Halotel ni tosha kabisa...Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.
Mungu awalinde