Tigo kwaherini

Tigo kwaherini

Kampuni ya Tigo nawaaga. Moja kwa moja. Sitatumia tena huduma zenu. Endeleeni na ukamuaji mnaofanya. Sina hata haja ya kuorodhesha kero zenu.

Mungu awalinde
Naona unasusia Mkojo na kujiandaa kwenda kukanyaga Kinyesi sasa Ndugu. Nani aliyekudanganya kuwa huko katika Mitandao mingine kuna Unafuu? Tumeipenda wenyewe na hapo bado.....!!!!
 
Karibu vodacom,

1000Tsh/=1GB-3days 100minutes all networks
Nahisi laini zinatofautiana hii mm sina.ipo ya 5000 2gb kwa wiki. Sijui kwakuwa lain yangu ya zamani.una bahati au menu yako iko tofauti na ya wengine?

Kwa wiki nikijibana natumia 8000 yaan nanunua voda dk 250 all net kwa 3000 nanunua 2gb tigo kwa 5000 kwa ajili ya net tu. Na hii 2gb haifiki wiki dah

Sasa nawaza nikisajili lain nyingine ntaweza beba simu mbili?
Hama hama itakuwaje na kazini maana wateja washazoea hizo no.dah
 
Hio gb moja siku tatu iko maeneo ya Dar labda na pembezoni kama Dar super un kwenye just for you *149*03#
 
Nahisi laini zinatofautiana hii mm sina.ipo ya 5000 2gb kwa wiki. Sijui kwakuwa lain yangu ya zamani.una bahati au menu yako iko tofauti na ya wengine?

Kwa wiki nikijibana natumia 8000 yaan nanunua voda dk 250 all net kwa 3000 nanunua 2gb tigo kwa 5000 kwa ajili ya net tu. Na hii 2gb haifiki wiki dah

Sasa nawaza nikisajili lain nyingine ntaweza beba simu mbili?
Hama hama itakuwaje na kazini maana wateja washazoea hizo no.dah
Hiyo ni kwa Kanda ya ziwa offer
 
Back
Top Bottom