Tigo kwaherini

Tigo kwaherini

Kokote alimradi niwahame. Protest ina maana
Karibu vodacom
Screenshot_20210213-162908_Phone.jpg
 
Nahisi laini zinatofautiana hii mm sina.ipo ya 5000 2gb kwa wiki. Sijui kwakuwa lain yangu ya zamani.una bahati au menu yako iko tofauti na ya wengine?

Kwa wiki nikijibana natumia 8000 yaan nanunua voda dk 250 all net kwa 3000 nanunua 2gb tigo kwa 5000 kwa ajili ya net tu. Na hii 2gb haifiki wiki dah

Sasa nawaza nikisajili lain nyingine ntaweza beba simu mbili?
Hama hama itakuwaje na kazini maana wateja washazoea hizo no.dah
Simple nunua kitochi hamishia hizo number huko! Kula maisha na lIne zenye nafuu ulikotoa Tigo na Voda
 
Hapa hapa Dar kuna wengine wanaofa hiyo wengine hawana...Mimi waliitoa kwenye laini yangu ya kwanza nikajua wote...nilipokuja kujua wengine wanayo nikasajili laini nyingine.
Saiv ipo
 
Back
Top Bottom