Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,191
- 8,219
Sasa hizi mb 500 za saa saba usiku atumie nani msitufanye wajinga jamani
Kwani hapo tatizo ni nini? Ikifika saa saba download movie lala zako.
Single movie, unachagua yenye MB chache.Labda epsode 1, Movie hazitoshi.
Tulia wewe watu wakiwa wanakula daku wanaperuzi mawaidha
Single movie kwa MB's 500!!! Sijawah onaSingle movie, unachagua yenye MB chache.
Single movie, unachagua yenye MB chache.
Zipo nyingi tuu. Tena zinaplay hadi kwenye TV.Single movie kwa MB's 500!!! Sijawah ona
Unatumia Application gani hii?
Ndiyo maana inakuwa 480p sijui .Zipo ila quality haitakua poa sana.
Single movie, unachagua yenye MB chache.
Single movie kwa MB's 500!!! Sijawah ona
480pLabda za zamani sana. Za sasa 720p si chini ya mb800+
Single movie kwa MB's 500!!! Sijawah ona
Hii ina MB 300+ ni 480p.Labda za zamani sana. Za sasa 720p si chini ya mb800+
Hii ina MB 300+ ni 480p.
Bado ni best maana kuna hadi 320p.
Na hizi nikidownload picha inakuwa clear inaplay hadi kwenye TV. Sema haiwi kama HD.
Lakini tatizo siyo kwa app zote wanaweka hizi . nyingi wanaweka 1080p na 720p.View attachment 1101040
Labda ya quality 144
Chini ya 720p movie inakuwa quality mbovu hata hauenjoy. Hususan kama unatumia kwenye screen kubwa.