Tigo acheni wizi wa waziwazi

Habari ya MB za kutosha hivi sasa ni mtandao wa TTCL tu .
Huko kwingineko ni majanga tu
Mlalamikaji hii ni biashara huria.

Jiunge na ttcl kwa 1000 unapata gb 10 za 4g. 6:00 usiku hadi 12 asubuhi.


1000 unapata gb 4. Mb 500 hasubuhi hadi saa 2 usiku. Then gb 3.5 unatumia saa mbili usiku hadi saa 12 asubuhi.
 
Kwanini wanipangie? Kuna ambao hawapendi kuangalia movie

Kuna vifurushi tofauti tofauti, kuna hicho kinakupa MB 512 (24 hours) + MB 512 usiku, kuna kinachokupa GB 1 24 hours, kuna vingi tu.

Mfano mimi hizo MB 512 usiku najiunga kama kuna game ya basketball - NBA nastream mpaka game inaisha, nabaki natumia zile za 512 zilizobaki kwa muda mzuri.
 
Back
Top Bottom