Watu wa idara ya maji (DAWASCO) mnatuumiza kwa kweli acheni wizi wa waziwazi

totoadela

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
365
1,084
Ninaandika kwa machungu na masikitiko sana! Ina maana viongozi wanaohusika na suala la maji wameshindwa kuliona hili? Inakuwaje wateja wanabambikiwa bili za maji kiasi hiki?

Ni kwamba hakuna anayeweza kukemea hili?

Bili inakuja kubwa kuliko matumizi yaani umezoea kuona bili ya Elf 4500/5000 sasa hivi unaletewa bili ya elfu 50 au namwagilia mbogamboga za kulisha wana DSM.

IDARA YA MAJI ACHENI UWIZI WA WAZI WAZI HASA HAWA DAWASCO MMEZIDI SASA
 
Mkuu mbona ishu ya bill za dawasco rahisi sana. Mita ipo hapo, angalia units kabla ya mwezi na baada ya mwezi, toa upate tofauti ndio matumizi yako ya mwezi. Linganisha na idadi ya units ulizotumiwa kwenye bill simple tu
 
1. Ukiona bili imekuja sivyo ndivyo, jaribu kutrace mwenyewe matumizi yako. Soma mita namba tar 1 kisha soma tena tar 30 mwezi huo huo. Tofauti yake ndio units ulizotumia kisha zidisha na bei ya unit moja.

2. Ukiona shida ni wao, ita DAWASA wanakubadirishia mita namba.
 
Unaweza kufukua bomba lako?kutoka mbele ya mita ujue mzunguko wote hasa kama umesakafia??
 
Back
Top Bottom