Tigo acheni wizi wa waziwazi

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,185
8,211
IMG_7687.JPG


Sasa hizi mb 500 za saa saba usiku atumie nani msitufanye wajinga jamani
 
Chini ya 720p movie inakuwa quality mbovu hata hauenjoy. Hususan kama unatumia kwenye screen kubwa.
Hii ina MB 300+ ni 480p.
Bado ni best maana kuna hadi 320p.
Na hizi nikidownload picha inakuwa clear inaplay hadi kwenye TV. Sema haiwi kama HD.
Lakini tatizo siyo kwa app zote wanaweka hizi . nyingi wanaweka 1080p na 720p.View attachment 1101040
 
Mlalamikaji hii ni biashara huria.

Jiunge na ttcl kwa 1000 unapata gb 10 za 4g. 6:00 usiku hadi 12 asubuhi.


1000 unapata gb 4. Mb 500 hasubuhi hadi saa 2 usiku. Then gb 3.5 unatumia saa mbili usiku hadi saa 12 asubuhi.
 
Back
Top Bottom