Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,548
- 6,102
Ni app gani hiyo mkuu unayo tumia kupakulia movies msaada tafadhali.Hii ina MB 300+ ni 480p.
Bado ni best maana kuna hadi 320p.
Na hizi nikidownload picha inakuwa clear inaplay hadi kwenye TV. Sema haiwi kama HD.
Lakini tatizo siyo kwa app zote wanaweka hizi . nyingi wanaweka 1080p na 720p.View attachment 1101040