Tido Mhando ni kada wa CCM?

Tido Mhando ni kada wa CCM?

Tido hapendelei, anauliza swali kama lilivyo, yuko hivyo tangu BBC, TBC na sasa Azam. Rais wa Awamu ya Tatu mzee Mkapa aliwahi kubanwa kule London hadi akafoka. Tido namuamini sana huyu mzee. Ukikubali kufanya mahojiano nae jiandae kupigwa maswali ambayo waandishi wengine hawathubutu,yeye kwa kuwa alikulia BBC ambako chombo cha habari kiko huru, bado anayo hiyo Legacy. Kama unaona huwezi kujizuia, ni afadhali usikubali Kuhojiwa na Tido, unaweza kurusha ngumi.
 
Siikubali CCM na mfumo wake!Lakini leo Tiddo Mhando hajaonyesha ukada wowote.Kama ulifuatilia FUNGUKA wakati akimuhoji Bibi Tulia(Naibu Spika) ungesema huyu jamaa ni Chadema.

Tiddo ni senior Journalist...Namuheshimu sana sana!!CCM wanamjuwa mwaka 2010 alichowafanya na Mzee wao Makamba
 
Sio kweli,Tido yuko neutral kabisa,nasikiliza hapa naona anajenga maswali mazuri

Msomi hawi neutral...
Msomi huwa objective..
Ukiwa Msomi neutral utaishia kuwa akina Rutengwa, Mutungi na wale PhD holders wanaolilia uDC!
 
Not necessarily, ingawa kwa kiasi fulani una point nzuri. kuna maswali ya kuwa objective na kuwa neutral! You need to be very careful when making your questions. Kumuuliza kuwa: Magufuli anafanya vizuri mbona unampinga! This is not the kind of professional questions we expected from Tido? By what, whose standards are you giving such a judgement. The best question would have been of this nature????, How do you rate the work so far done by the President... (something of that nature!). Unamuacha anakujibu, then from there unaweza kutaka maelezo! Ukisha judge kuwa fulani ni mwema , anafanya kazi vizuri, unafanya mahojiano yawe mabishano kati ya unayemhoji na wewe!
Unaweza kumuuliza, kwa nini ulitoka CCM? (kitu kama hicho... LAKINI ukimuuliza hivi: kuwa kwa nini ilitoka CCM kutafuta urais CDM? Swali halina maana kwa sababu unajua kilichomtoa tayari, umeshamjudge tayari!....... kitu kama hicho!
 
Hujaelewa hoja yangu,nimesema kuwa yuko neutral kwa misingi kuwa anauliza maswali bila kujali itikadi ya chama cha muhusika!Anavyowabana wageni wake kwa maswali ni dhahiri utakiri kuwa hana chama(au anafata misingi ya uanahabari) kwa lugha nyingine yuko neutral au not biased!
Kila anayekalia kiti kile lazima atokwe jasho kwa maswali atakayoulizwa,usipoelewa na hapa basi Elimu Elimu Elimu inakuhusu
 
Hahahahaha naona itakuwa Lowasa kabanwa pole sana Leo Tido juzi ilikuwa Mahela na mwezi uliopita ilikuwa Salim ki keke! Kwanini mnapenda kulia lia?
ila unakumbuka Magu alikimbia asihjiwe bbcswahili?
 
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.

Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!

He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Mkuu lete clip ili tumkumu vzr...acha kutuuzia kesi kwenye kiroba.
 
Hujaelewa hoja yangu,nimesema kuwa yuko neutral kwa misingi kuwa anauliza maswali bila kujali itikadi ya chama cha muhusika!Anavyowabana wageni wake kwa maswali ni dhahiri utakiri kuwa hana chama(au anafata misingi ya uanahabari) kwa lugha nyingine yuko neutral au not biased!
Kila anayekalia kiti kile lazima atokwe jasho kwa maswali atakayoulizwa,usipoelewa na hapa basi Elimu Elimu Elimu inakuhusu
Kama hiki ndicho ulichomaanisha kwenye uzi wako basi unapaswa kuuhariri ili usomeke hivyo. Please edit your thread immediately.
 
Not necessarily, ingawa kwa kiasi fulani una point nzuri. kuna maswali ya kuwa objective na kuwa neutral! You need to be very careful when making your questions. Kumuuliza kuwa: Magufuli anafanya vizuri mbona unampinga! This is not the kind of professional questions we expected from Tido? By what, whose standards are you giving such a judgement. The best question would have been of this nature????, How do you rate the work so far done by the President... (something of that nature!). Unamuacha anakujibu, then from there unaweza kutaka maelezo! Ukisha judge kuwa fulani ni mwema , anafanya kazi vizuri, unafanya mahojiano yawe mabishano kati ya unayemhoji na wewe!
Unaweza kumuuliza, kwa nini ulitoka CCM? (kitu kama hicho... LAKINI ukimuuliza hivi: kuwa kwa nini ilitoka CCM kutafuta urais CDM? Swali halina maana kwa sababu unajua kilichomtoa tayari, umeshamjudge tayari!....... kitu kama hicho!
Hivi na wewe kwanini unataka watu waulize maswali kwa unafiki? Kwani Lowassa ni mtoto mdogo wa kushindwa kujibu hafanyi vizuri kwa sababu a, b, and c! Tena hilo swali ameuliza vizuri sana sana ili kupata mawazo sahihi ya Lowassa! Kwa ujulma interview yote ilikuwa nzuri sana na Todo ameonyesha ni kwanini anaitwa nguli wa habari!
 
Siyo unafiki unajuaje kuwa alitoka ili kupata urais? Hizo ni hisia! Kama unajua jibu kwa nini unamuuliza. Unauliza ukiwa biased tayari, no body will give you credit unless somebody of low caliber .......................
 
Hujaelewa hoja yangu,nimesema kuwa yuko neutral kwa misingi kuwa anauliza maswali bila kujali itikadi ya chama cha muhusika!Anavyowabana wageni wake kwa maswali ni dhahiri utakiri kuwa hana chama(au anafata misingi ya uanahabari) kwa lugha nyingine yuko neutral au not biased!
Kila anayekalia kiti kile lazima atokwe jasho kwa maswali atakayoulizwa,usipoelewa na hapa basi Elimu Elimu Elimu inakuhusu
Leo alikuwa biased. Basi leo ameteleza, unajua sasa hivi kuna terror, na yeye hayuko tayari ku-antogonise mwajili wake na serikali. Leo Tido amehoji chini ya kiwango tunachokijua! Hakuna na tofauti na Sam Mahela na Msigwa!
 
Siyo unafiki unajuaje kuwa alitoka ili kupata urais? Hizo ni hisia! Kama unajua jibu kwa nini unamuuliza. Unauliza ukiwa biased tayari, no body will give you credit unless somebody of low caliber .......................
Wewe unaleta ligi lakini inaonekana haya mambo ya interview huna clue nayo hata chembe! Interview yoyote nia yake ni ku-challenge mhusika ili aweze kutoa majibu ya ndani ambayo, pengine yangeweza kuwa siri. Alichofanya Tido ni sawa kabisa kwani alikuwa anampa Lowassa changamoto! Maswali yake ni ya kichokonozi. Wewe umezoea zile interview za waandishi wa kibongo wanaouliza kama wanaongea na baba mkwe! Kwa kifupi, kama unaelewa vizuri kiingereeza basi fuatilia intereview za wanasiasa zinapofanywa na mashirika makubwa ya habari utaelewa!
 
Kiingereza nimekulia maisha yangu yote London! Huwa sikosi kipindi cha Hard Talk na Tv zangu huwa ni CNN, BBC kwa wingi!
 
Utakuwa unasema uongo kwa asilimia mia moja! Ungekuwa na exposure kama unavyodai basi usingekuja na thread finyu kama hii! Sana sana wewe utakuwa hawa ma-kanjanja wa bongoland!
 
Najua kilichomtoa, sasa anajaribu kutubu kwa kumhoji mbaya wa CCM kuonyesha maswali ya kujikomba. Usiseme kuwa Magufuli anafanya vizuri, umeshahukumu tayari, umempa sifa tayari magufuli. muulize unaonaje utendaji wa Magufuli? This is the right question!
Magu yuko serious sana binafsi namkubali sana rais wetu
 
Utakuwa unasema uongo kwa asilimia mia moja! Ungekuwa na exposure kama unavyodai basi usingekuja na thread finyu kama hii! Sana sana wewe utakuwa hawa ma-kanjanja wa bongoland!
Haya bwana ndio maana nasema unamuweka mtu maneno mdomoni.
 
Back
Top Bottom