Tido Mhando ni kada wa CCM?

Tido Mhando ni kada wa CCM?

Kila mtangazaji kwenu akihoji ukweli basi ni kada akili nyingine bana
 
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.

Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!

He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Tatizo kubwa la pro-Chadema hawataki challenges ukiwa tofauti nao kiduchu wanakuambia wewe ni CCM au msaliti.
 
Najua kilichomtoa, sasa anajaribu kutubu kwa kumhoji mbaya wa CCM kuonyesha maswali ya kujikomba. Usiseme kuwa Magufuli anafanya vizuri, umeshahukumu tayari, umempa sifa tayari magufuli. muulize unaonaje utendaji wa Magufuli? This is the right question!
Umenena haswaaaa. Alipokua TBC alikua free thinker na alifanya kazi kwa weledi uliotukuka kama ilivyo BBC(ambacho actually ni chombo cha umma ila unaweza dhani ni chombo cha upinzani jinsi kinavyokosoa serikali pale inapokua ndivyo sivyo) lakini naona baada ya kufanywa mbaya na yule mtawala na mikwala inayopigwa sasa kanywea ka Pirton na kupiga chapio baadala ya kufuata weledi wa taaluma yake.
 
Tatizo kubwa la pro-Chadema hawataki challenges ukiwa tofauti nao kiduchu wanakuambia wewe ni CCM au msaliti.
Hapana, Tido alikuwa na weledi mkubwa, mkubwa sana tena sana na taaluma yake. Leo kidogo imeshuka. Nadhani??? anachukua tahadhali asije aka-antagonize mwajiri/kampuni anayofanyia kazi na serikali hii ya sasa ambayo haijaribiwi. Si umesikia ya DED wa Bagamoyo! Ushahidi wa UKWELI umemponza. Lazima awe na tahadhali katika kazi yake sasa hivi!
 
Sasa kama unajua hivyo mbona unasema amekuwa kada wa CCM.
 
Kwa walivyomtenda tbc baada ya kutoka BBC kusimamia/kutenda na kuzungumza kwa haki na usawa, amegundua alivunja au alikiuka katiba ya chama cha chetu, amegutuka pia ktk umuri wa uzee hawezi kuishi salama ktk pango la wezi na walanguzi kama sio mmoja wao, anachofanya ni kile alichofanya mwana mpotevu ktk bibilia.
 
Mimi nimekuwa na wider interpretation ya nilichokisikia kwa Tido leo, lakini mtu mwenye narrow interpretation, atasema hivyo! Lazima scenario zote ziwe mbele yangu! Ndiyo maana nimekazia "nadhani"
 
Nimependa uandishi wako!
 
bavicha mjifunze kupokea huzuni sawa na fulaha.
 
KUHOJI unahoji kwa mtazamo unaouona wewe,background view na unaangazia wapi.
 
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.

Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!

He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Who cares...???
Kila mtu anahaki ya kuwa na upande aupendao
Kama wewe ulivo na upande
Why Tido??
Wale wandishi wafia ukawa auto wafia ccm wanatofauti gani na Tido.
Hoja ya msingi ni jee maswali yanamantiki??
Yanawakilisha angalau mtazamo wa raia hata kama wachache?
Kwa kweli kutaka mwandishi aulize utakavo huo ni udikteta zaidi ya huyo anaesemwa dikteta
 
Tunazungumzia weledi wa kuuliza maswali kama mwana taaluma! Ukisha kuwa biased, nitakuomba ujitoe kwenye kesi yangu kama ni mahakamani. Mahojiano ya leo kidogo yalikosa weledi tunaoujua kwa Tido!
 
Who cares...???
Kila mtu anahaki ya kuwa na upande aupendao
Kama wewe ulivo na upande
Why Tido??
Wale wandishi wafia ukawa auto wafia ccm wanatofauti gani na Tido.
Hoja ya msingi ni jee maswali yanamantiki??
Yanawakilisha angalau mtazamo wa raia hata kama wachache?
Kwa kweli kutaka mwandishi aulize utakavo huo ni udikteta zaidi ya huyo anaesemwa dikteta
Unatakiwa kufahamu kwamba Tido as a broadcast journalist hatakiwi kuonyesha political inclinations zake katika mahojiano labda kama angekuwa anatumika katika chombo ambacho ni declared wazi wazi msimamo wake wa kisiasa; kwa mfano Uhuru na Mzalendo 4 CCM au Tanzania Daima 4 CDM/UKAWA; lakini sio Azam media ambayo haijaweka wazi msimamo wake, that is the point kwamba kitaaluma sio sawa, sio kwamba Tido asiwe na uegemezi wake kisiasa la hasha.
 
Mimi nimekuwa na wider interpretation ya nilichokisikia kwa Tido leo, lakini mtu mwenye narrow interpretation, atasema hivyo! Lazima scenario zote ziwe mbele yangu! Ndiyo maana nimekazia "nadhani"
Lakini kwenye bandiko lako hamna neno nadhani hili neno umeliweka sasa hivi.
 
U
Unatakiwa kufahamu kwamba Tido as a broadcast journalist hatakiwi kuonyesha political inclinations zake katika mahojiano labda kama angekuwa anatumika katika chombo ambacho ni declared wazi wazi msimamo wake wa kisiasa; kwa mfano Uhuru na Mzalendo 4 CCM au Tanzania Daima 4 CDM/UKAWA; lakini sio Azam media ambayo haijaweka wazi msimamo wake, that is the point kwamba kitaaluma sio sawa, sio kwamba Tido asiwe na uegemezi wake kisiasa la hasha.
Umeandika vizuri sana.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom