Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Hahahahaha naona itakuwa Lowasa kabanwa pole sana Leo Tido juzi ilikuwa Mahela na mwezi uliopita ilikuwa Salim ki keke! Kwanini mnapenda kulia lia?Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!