Tido Mhando ni kada wa CCM?

Tido Mhando ni kada wa CCM?

Sio hayo tu. Hata "opinion polls" za mwaka 2015 zilipoonyesha kuwa Lowassa atashindwa na Magufulu walipinga wakasema zile polls ziliendeshwa ili kuonyesha kuwa Magufuli atashinda. Bahati mbaya kwao matokeo ya uchaguzi halisi yakatoka na kuthibitisha usahihi wa opinion polls.
Siri ya ushindi wa ccm anaijua lubuva
 
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.

Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!

He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Ungeanza kwanza kwa kuhoji Je mvi nyingi ni kada wa CCM?? Ningekuelwa zaidi..
maana na yeye pia huwa hafichi hisia zake kwa kumkubali Mh. Rais JPM na jitihada zake za kulikomboa na kulinyanyua Taifa...

Tatizo lenu ninyi ni wajuvi sana wa kuhoji, kukosoa na kukandia kila kitu..
Ila mnapohojiwa na kukosolewa immediately anayewahoji anageuka hasimu wenu na kuitwa kada wa CCM..

kaazi kweli kweli..
Wacha Nyumbu muitwe Nyumbu.... maana akili zenu zote mmezi uninstall then mka install za mwenyekiti
 
Ingekuwa safi mno kama Jecha na Lubuva nao wakafanyiwa mahojiano..!
 
Ulitaka aulizwe maswali yepi labda ili ujue yuko neutral
Hawajielewi wala hawajiwezi let alone kujua ni aina gani ya maswali wangetaka waulizwe....

Wasamehe buureee..
Wako chaali saa hizi wanahangaika na semantics..
 
Namsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.

Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!

He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Dah..nilikuwa naamini kuwa Tido ni mwandishi bora kabisa,kumbe naye subjective
 
Kamhoji wewe basi tuone ulivyo neutral.

Demokrasia maanake uyaandae masikio yako kusikia usichopenda kukisikia.
 
Huko kucheka inaonyesha una ufahamu ukweli
But y should i discussing this matter with u? Nadhan naanza kupoteza uwezo wangu wa kufikir, i gave u 20%, hizo 80% tafta mwenyewe ujue y nimecheka.
 
But y should i discussing this matter with u? Nadhan naanza kupoteza uwezo wangu wa kufikir, i gave u 20%, hizo 80% tafta mwenyewe ujue y nimecheka.
Hili ni jukwaa huru mkuu hivyo upo huru kuendelea ku discuss na mi otherwise unapinda tu
 
Nilichokiona ni Tido Mhando kutouliza maswali magumu yanayotokana na majibu ya Lowassa.
 
Back
Top Bottom