Najua kilichomtoa, sasa anajaribu kutubu kwa kumhoji mbaya wa CCM kuonyesha maswali ya kujikomba. Usiseme kuwa Magufuli anafanya vizuri, umeshahukumu tayari, umempa sifa tayari magufuli. muulize unaonaje utendaji wa Magufuli? This is the right question!
punguzeni ushabiki usio na maana, yaani mnataka kila mtu afanye kama mnavyotaka nyinyi........!!!!Najua kilichomtoa, sasa anajaribu kutubu kwa kumhoji mbaya wa CCM kuonyesha maswali ya kujikomba. Usiseme kuwa Magufuli anafanya vizuri, umeshahukumu tayari, umempa sifa tayari magufuli. muulize unaonaje utendaji wa Magufuli? This is the right question!
Nashukuru umeona maana humu wengi hawakulina hiloDah..nilikuwa naamini kuwa Tido ni mwandishi bora kabisa,kumbe naye subjective
Hapana, siyo nitakayo. Maswali yalikuwa so inclined kuwa weledi wake umepungua. Huwezi kuhoji kwa kusema JPM amepiga hatu nzuri, hapana, weka swali neutral umchokonoe mtu.so umemjaj kwa kipindi kimoja?
tido ni adui no. 1 wa ccm
ww ulitaka kusikikia utakayo
No please, nadhani ile unceremonial exit from TBC ilimshitua ukiweka na kipindi hiki cha amri, amegeuza namna ya kutenda kazi zake! Ningelifurahi kama angelimhoji JPMKama Tido angekuwa CCM asingembana Dr. Tulia namna ile.
Tido ni mmoja wa watu waliobobea kwenye kufanya interview. Huwa anajiandaa vilivyo. He is simply the best in East Africa. Enzi zake akiwa BBC pale Nairobi alimtoa kamasi Moi. Ikabidi aondoke haraka kuhofia usalama wake.
Amesema maeneo fulani kidogo, and this is true! Hakusema absolutely kuwa he is doing good in all fields! Kuna mess up nyingi tu!Naona imekuuma Mzee Lowasa kukili wazi Rais Magufuli anafanya kazi zake vizuri.
Kaa ukijua Lowasa siyo mnafiki kama nyie washika UKUTA wa Mbowe
Una matatizo wewe, basi aende akahojiwe ITVNamsikiliza Tido Mhando, kama vile ni Kada wa CCM! Amenitia mshaka makubwa! Maswali yake kama ya yule kijna wa Dakika 45- Sam Mahela. Simhukumu, nasema kama vile ni kada wa CCM.
Tido anazeeka, kuhoji kwa high mental power involvement kunaelekea kupungua!
He needs to be neutral not showing a vivid inclination!
Huyu amenitukana, namrudishia tusi, simple and clear! Povu ni tusi vile vile, nakuweka kiporo leo Jumapili!Mkuu, povu la nini?? Naona unatapuka damu humu kisa Tido.
Hahaha ITV akikutana na Sam Mahela napo watalia akienda BBC akakutana na Salim Kikeke ndio kabisaUna matatizo wewe, basi aende akahojiwe ITV
Seniority and experience means excellence, lakini inategemea unaongelea nchi gani au bara gani. TZ watu wanauzoefu wa kuharibu. Madhalani, watangazaji wa TBC hivi wakidumu hata miaka 50 unaweza ukawaajiri kwenye TV au radio station yako wakaongeza effectiveness au efficacy?Being senior is not and does not prove or guarantee perfection! Anaowatumbua JPM ni senior! Unasemaje
Ulihesabu kura?Sio hayo tu. Hata "opinion polls" za mwaka 2015 zilipoonyesha kuwa Lowassa atashindwa na Magufulu walipinga wakasema zile polls ziliendeshwa ili kuonyesha kuwa Magufuli atashinda. Bahati mbaya kwao matokeo ya uchaguzi halisi yakatoka na kuthibitisha usahihi wa opinion polls.
Hakuna mwandishi wa habari atakayekuwa balanced hivi sasa, wote wanahisi mkuu wa kaya atawateua.tido yuko very balanced,nimefuatilia mahojiano yake na lowassa yote leo na nimeona hilo.
Salimu alikuwa haoji ila alikuwa anashinikiza majibu!! Tido Leo alikuwa vizur sana maswali Makali na majibu mafupi kiukweli nimempenda sana Lowassa ni MTU anayeona mbele sana!!!Hawa tatizo hawapendi kukosolewa unakumbuka ata Salim kikeke alivomhoji jamaa akabwabwaja walisema et n CCM au katumwa?
Ulihesabu kura?