Tido Mhando aula Al Jazeeera

Tatizo la tido na proffesional wengine kama yeye litaendelea kuwa pale pale.Kwa nini TIDO asianzishe media house ya kwake badala ya kutegemea kuajiwa kila wakati na matokeo yake anatumia ujuzi,na nguvu zake kufanya investment kisha anafukuzwa kama mbwa.Tazama Jeif koinange alikuwa Correspendent tu wa CNN afrika akafukuzwa kwa kashfa ya kubaka akaazishwa kutuo cha television kwo kenya kinatwa Kenya 24.Tazama Abdalah Majura kaanzisha redio FM dodoma.Sasa hii tabia ya TIDO ya kutaka kufanyia watu,haitamsaidia maishani.
Ni kweli, lakini siyo kila mmoja anawezakuwa mjasiriamali.
 
- People, please suala la Tido na TBC lilikuwa ni la ajira na sio siasa, ni mambo madogo madogo kama haya ndio yanaturudisha nyuma sana hili taifa na huenda ni kwa sababu ya umasikini zaidi kwa sababu kazi yoyote unayoipata kwa ajira ya mkataba, maana yake ni kwamba mkataba ukiiisha umeisha ni uamuzi wa muajiri wako kuamua kama atakuongeza muda au hapana na wewe muajiriwa unatakiwa kuwa umejitayarisha kubaki au kuondoka!

- Tanzania tumezoea hisia za kuhamia kabisa kwenye kazi tulizoajiriwa kwa mkataba na kuamini kwamba ni zetu na ni lazima waongeze tu mkataba ukiiisha, hapana people waajiri wako wana haki kisheria kwenda njia tofauti kama wanaona hauko sawa na line yao ya sababu za kuwepo kwao kwenye biashara, inatakiwa kuwa kawaida sana hiyo na nothing to do na anything, Tido who is my very good friend, aliajiriwa na TBC kwa mkataba ambao uliiishia kwenye ku-renew, waajiri wake wakasema hawamuhitaji tena kwa sababu wanataka kwenda njia tofauti, sasa what is the problem hapo?

- I mean kwa mwendo huu Tanzania, itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, umeona juzi Oprah, mkataba umeisha na ABC, ameamua kwenda njia yake mwenyewe badala ya kulilia kupewa mpya, ndio maana ya mkataba Lebron, mkataba ulipoisha na Cleveland, akaamua kwenda The Heat, ndio maana ya mkataba wa ajira, TBC hawakumkosea Tido na wala Tido mwenyewe hajawahi kulalalmika kwamba amekosewa!

- So what is the fuss for?

Willie @ NYC, USA.

Mkuu sidhani kama kuna uhusiano wowote kati ya issue ya Tido na Oprah, save for the mkataba. Otherwise, you are trying to make a very extreme comparison in deed. Ukweli ni kwamba Oprah akishirikiana na Discovery Communications ameanzisha channel yake inayoitwa Oprah Winfrey Network (OWN). Hii channel ilianza mwaka 2010 na Oprah alisema kuwa ataheshimu mkataba wake wa miaka 25 na CBS (ambayo inasambaza shows zake). Huu mkatataba unaisha Septemba of 2011.

CBS Television Distribution, is, of course, saddened by the upcoming loss of their money-making host. Kama CBS ndio hawakutala ku extend mkataba, then they would not have released this statement: "We know that anything she turns her hand to will be a great success," the CBS Corp. unit said in a statement. "We look forward to working with her for the next several years, and hopefully afterwards as well."

So, if they are saying Ophrah was their money making host, how come they they not extend the money making contract? Sio kwamba CBS hawakutaka ku extend mkataba, bali Ophrah hakutaka ku renew mkataba. Ophrah had other ambitions of her own ya kuanzisha channel yake. Tofautisha hiyo na suala la Tido na TBC. Tido alikuwa na nia kabisa ya ku extend mkataba, lakini TBC hawakutaka.

Nafikiri badala ya kuweka extreme comparisons, lets make it simple. Hapa Bongo kuna wafanyakazi kibao tuu wameajiriwa na serikali kwa mkataba, hiyo mikataba imekuwa extended bila matatizo yoyote. Pia wapo wafafanyakazi wengi tuu wamefikia umri wa kustaafu lakini wakaajiriwa kwa mkataba na mikataba yao imekuwa extended bila matatizo regardless of the performance. Credentials za Tido zinajulikana kwenye media. No one can doubt his experience in this field. He did a tremendous job at BBC na TBC. BBC imeshuka kiwango tokea aondoke. TBC nayo itafuata, if not yet. Still the guy is being linked to a one of the top media companies in the world. These are what make people wonder, why his contract was not extended. Nakubali mkataba ni mkataba na ukiisha mwajiri ana discretion ya ku renew au kuto renew. Kwa Tido, kama ulivyosema, mwajiri wake alisema hawamuhitaji tena kwa sababu wanataka kwenda njia tofauti. Hiyo njia tofatuti ndio ipi hiyo? Hapo ndipo nilipokwama.
 
siasa na maendeleo ni vitu viwili tofauti nchi hii hatuna viongozi tumezungukwa na wanasiasa wanaojali maslai yao.
 
Hawa jamaa wameanzisha idhaa ya kiswahili? sikuwa najua. Kama ni kweli basi jamaa atakuwa juu dunia nzima!
 
Hakuna aljazeera ya kiswahili banaa musidanganywe.

Kuwa mpole wewe, hiyo ni mipango ya uanzishwaji wake, ndio maana watakaoiendesha/simamia ndio wana-andaliwa akiwepo mkurugenzi wao- TIDO, sasa wewe unataka ianze leo hii hii au? acha ukilaza wewe!

Kwa taarifa yako makao makuu yake takakuwa jijini Nairobi, kenya, wait and you will see the truth, acha kukurupuka !
 
Jamani jana si tumepitisha sheria ya kuondoa kodi kwa wawekezaji ili kuwavutia wawekeze Tanzania. Tanzania amani tele, kodi zero sasa inakuwaje tena hawa wanaenda Kenya au si wawekezaji?
Hawawezi kuja kuwekeza hapa wakati umeme wenyewe wa ma-betri, itakula kwao tu
 
Tulisha liongelea hili
na nilileta swali hapa nikauliza ni kwa nini Redio zote za kiswahili za nje makao yake makuu ni kenya? nikatoa mfano wa Redio kiswahili China,BBC Swahili,VOA SWAHILI na ile Redio kiswahili ya ufaransa,na Nikaelezea ujio wa [h=2]Al Jazeeera Redio kiswahili[/h]ki ukweli watu walijibu kuwa hapa bongo tunasheria kandamizi zisizojari maslahi ya Taifa na kueneza kiswahili,zaidi ni watu kufikilia matumbo yao na familia zao

Na kwa kuwa Tildo Mhando Alitolewa kwa zengwe TBC hivyo ni dhahili shahili kuwa uwezo wake bado ni mkubwa na wapo wengi wanaomwitaji,sisi tunamwona hafai lakini vyombo vya kimataifa wenye kulipa mishahara mizuri wamemwona TILDO ANAFAAA

Yaani viongozi wa bongo wao wanacho kiangalia ni matakwa yao na wala sio uwezo alionao Tildo ktk maswala ya kazi

HAYA SASA AIBU YAO,AIBU YA UKASUMBA WAO,JAMAA HUYOOOO KTK MSHAHARA MKUBWA NA atakuwa huru zaidi kuliko hapo alikokuwepo TBC MAJUNGU TU
 
Huwezi amini lakini hiyo ndo habari! Tido ameukwaa ukurugenzi wa al jazeera chanel ya kiswahili!
Baada ya kazi kubwa ya kui-modernize TBC...mpaka kufikia kuuzika (professional)... Kama kawaida yake kwa JK administration ni kwamba alikuwa amefanya mabaya... Lakini Mungu si ******...amtupe mja wake...instead of working with a hopeless administration Mungu amempa kazi bora zaidi. Namuombea mafanikio.
 
That is a big question indeed. Hiyo tulizipataje tuachie kwanza. Cha msingi ni kwamba huyu bwana hakuondoka pale kwa kupenda kama ilivyokuwa kwa akina Oprah na Lary King. Aliwaudhi wakubwa kwa kufanya kazi professionally and objectively. Ni hilo tu. Ndio maana mwenzake anaenda kuizika TBC kama mwenzake alivyoizika ATC, madamu wakubwa wafurahi. Tutaendeleaje kwa kuwachukia watu wanaofanya kazi zao kwa ufanisi na kuwakumbatia wanaojipendekeza lakini wakivurunda na kuua mashirika yetu kama hao wajinga wa ATC?

- Mkuu Kitila, hata mimi nikiwaudhi wakubwa wangu wa kazi kwa kufanya kinyume na wanayonituma watanifukuza, ninatatizwa sana kuingiza siasa kwenye ajira, hii italimaliza taifa letu, ukiajiriwa kwa mkataba ni lazima uafanye kazi kwa kufuata ule mkataba, ndio maana Dan Rather alipowaudhi wakubwa wake huku CBS walikatisha mkataba wake mara moja, akaenda kwenye sheria akashindwa akaambiwa kazi ni kwa mkataba!

- Watazania tujifunze kuheshimu mikataba yetu ya kazi, zile enzi za kazi za guaranteed zimeisha, ukiajiriwa kwa maktaba heshimu mkataba, ukienda kinyume na mkataba utaondolewa na kama umeonewa nenda kwenye sheria, Dr. Kitila unajua wazi kwamba njia aliyoingilie Tido kule haikuwa clear, sasa unashangaa nini kwenye kutoka ikiwa sio clear? Hujui kwamba alipoingia kule kuna aliowakanyaga na hawakulia kwa sababu ya nguvu kubwa iliyomuingiza kwa njia isiyo saafi?

Willie @ NYC, USA.
 
Mkuu sidhani kama kuna uhusiano wowote kati ya issue ya Tido na Oprah, save for the mkataba. Otherwise, you are trying to make a very extreme comparison in deed. Ukweli ni kwamba Oprah akishirikiana na Discovery Communications ameanzisha channel yake inayoitwa Oprah Winfrey Network (OWN). Hii channel ilianza mwaka 2010 na Oprah alisema kuwa ataheshimu mkataba wake wa miaka 25 na CBS (ambayo inasambaza shows zake). Huu mkatataba unaisha Septemba of 2011.

CBS Television Distribution, is, of course, saddened by the upcoming loss of their money-making host. Kama CBS ndio hawakutala ku extend mkataba, then they would not have released this statement: "We know that anything she turns her hand to will be a great success," the CBS Corp. unit said in a statement. "We look forward to working with her for the next several years, and hopefully afterwards as well."

So, if they are saying Ophrah was their money making host, how come they they not extend the money making contract? Sio kwamba CBS hawakutaka ku extend mkataba, bali Ophrah hakutaka ku renew mkataba. Ophrah had other ambitions of her own ya kuanzisha channel yake. Tofautisha hiyo na suala la Tido na TBC. Tido alikuwa na nia kabisa ya ku extend mkataba, lakini TBC hawakutaka.

Nafikiri badala ya kuweka extreme comparisons, lets make it simple. Hapa Bongo kuna wafanyakazi kibao tuu wameajiriwa na serikali kwa mkataba, hiyo mikataba imekuwa extended bila matatizo yoyote. Pia wapo wafafanyakazi wengi tuu wamefikia umri wa kustaafu lakini wakaajiriwa kwa mkataba na mikataba yao imekuwa extended bila matatizo regardless of the performance. Credentials za Tido zinajulikana kwenye media. No one can doubt his experience in this field. He did a tremendous job at BBC na TBC. BBC imeshuka kiwango tokea aondoke. TBC nayo itafuata, if not yet. Still the guy is being linked to a one of the top media companies in the world. These are what make people wonder, why his contract was not extended. Nakubali mkataba ni mkataba na ukiisha mwajiri ana discretion ya ku renew au kuto renew. Kwa Tido, kama ulivyosema, mwajiri wake alisema hawamuhitaji tena kwa sababu wanataka kwenda njia tofauti. Hiyo njia tofatuti ndio ipi hiyo? Hapo ndipo nilipokwama.

- Unaonekana kuwa ni muelewa sana, lakini bado unakataa kukubali maana ya mkataba wa kazi, Oprah ni sawa Tido wote wameajiriwa kwa mkataba wa habari, muajiri wako ndiye mwenye final say ya ku-renew maktaba au kutoku-renew mkataba na sio lazima aseme sababu to the public, Oprah ndiye aliyeamua kwenda njia tofauti as opposed na Tido ni TBC ndio walioamua kwenda njia tofauti,

- Tido ana haki zote za kwenda kwenye sheria kama kuna sheria imekiukwa na muajiri wake on mkataba, hakuenda kwa sababu anajua fika kwamba hakuna kilichoharibika as far as mkataba is concerning, nashangaa sana kuona wasomi wazima mnakataa ukweli wa wazi na wa kisheria, it does not matter kama Tido alitaka kuendelea mkataba umeisha ni uamuzi wa waajiri sio wa Tido tena, kwani yule kocha Mbrazil wa timu yetu ya Taifa alipoondoka alitaka, no ni mkataba ndio unaoamua,

- Kwa kweli hii ni ishu for nothing na ukitaka kujua ni kwa nini hili taifa tuna safari ndefu saana ni hii ishu, I mean the ishu is white and black kwamba mktaba wa Tido umeisha, sasa ni waaajiri wake ambao kisheria ndio wamiliki wa mkataba wameamua wanataka kwenda njia tofauti naye, sasa tatizo lipo wapi? I dont get it! kwenye mkatba hakuna ahadi ya maneno, ahadi zote hutolewa kwa maandishi tu!i

Willie @ NYC, USA.
 
SAWA riziki inatoka kwa mungu,makamba na fitina yake kwisha walimtoa BBC ili wamdhalilishe TBC1 TENA KWA HELA NYINGI nakubali nabii hakubaliki kwao.
 
- Unaonekana kuwa ni muelewa sana, lakini bado unakataa kukubali maana ya mkataba wa kazi, Oprah ni sawa Tido wote wameajiriwa kwa mkataba wa habari, muajiri wako ndiye mwenye final say ya ku-renew maktaba au kutoku-renew mkataba na sio lazima aseme sababu to the public, Oprah ndiye aliyeamua kwenda njia tofauti as opposed na Tido ni TBC ndio walioamua kwenda njia tofauti,

- Tido ana haki zote za kwenda kwenye sheria kama kuna sheria imekiukwa na muajiri wake on mkataba, hakuenda kwa sababu anajua fika kwamba hakuna kilichoharibika as far as mkataba is concerning, nashangaa sana kuona wasomi wazima mnakataa ukweli wa wazi na wa kisheria, it does not matter kama Tido alitaka kuendelea mkataba umeisha ni uamuzi wa waajiri sio wa Tido tena, kwani yule kocha Mbrazil wa timu yetu ya Taifa alipoondoka alitaka, no ni mkataba ndio unaoamua,

- Kwa kweli hii ni ishu for nothing na ukitaka kujua ni kwa nini hili taifa tuna safari ndefu saana ni hii ishu, I mean the ishu is white and black kwamba mktaba wa Tido umeisha, sasa ni waaajiri wake ambao kisheria ndio wamiliki wa mkataba wameamua wanataka kwenda njia tofauti naye, sasa tatizo lipo wapi? I dont get it! kwenye mkatba hakuna ahadi ya maneno, ahadi zote hutolewa kwa maandishi tu!i

Willie @ NYC, USA.

Mkuu,

Huwezi hata siku moja kulinganisha mikataba ya kazi ya Ophrah na Tido. These are completely different agreements which were negotiated separately by completely different employers. The fact kwamba wote walisign mkataba, does not mean that those contracts were similar. Every case should be decided on its own circumstances. Ninachotofautiana na wewe hapo, ni kujaribu kufananisha mkataba wa Oprah na Tido. These contracts are completely different. Even the nature of the jobs they contracted out were completely different. By the way, Tido was an employee. But was Oprah an employee? You tell me.

Pia unakosea tena sana kusema kuwa mwajiri ndio final say ku-renew mkataba au kutoku-renew. Mwajiriwa pia anaweza kuwa na final say. Ikifika mwisho wa mkataba mwajiriwa anaweza kusema kuwa hana mpango wa ku-renew mkataba and there is nothing the employer can do about. In other words, at the end of a contract any party may choose not to renew it. Nitarudia tena kuwa it was ophrah and not CBS who did not wish to renew her 25 years contract in order to concentrate on her TV project. Kwenye issue ya Tido, it was his employer, not him, who did not wish to renew his contract.

Pia unasema kwenye mkataba hakuna ahadi za maneno, ahadi zote hutolewa kwa maandishi tuu. Mkuu you may need to get some basic ideas on how contracts are formed. A written contract is merely evidence of what was agreed upon. Lack of a written contract does not deny an existence of a contract.
 
- Duh! yaani incredible!, haya mkuu uko right 100%!

Willie @ NYC, USA.
 
- Mkuu Kitila, hata mimi nikiwaudhi wakubwa wangu wa kazi kwa kufanya kinyume na wanayonituma watanifukuza, ninatatizwa sana kuingiza siasa kwenye ajira, hii italimaliza taifa letu, ukiajiriwa kwa mkataba ni lazima uafanye kazi kwa kufuata ule mkataba, ndio maana Dan Rather alipowaudhi wakubwa wake huku CBS walikatisha mkataba wake mara moja, akaenda kwenye sheria akashindwa akaambiwa kazi ni kwa mkataba!

- Watazania tujifunze kuheshimu mikataba yetu ya kazi, zile enzi za kazi za guaranteed zimeisha, ukiajiriwa kwa maktaba heshimu mkataba, ukienda kinyume na mkataba utaondolewa na kama umeonewa nenda kwenye sheria, Dr. Kitila unajua wazi kwamba njia aliyoingilie Tido kule haikuwa clear, sasa unashangaa nini kwenye kutoka ikiwa sio clear? Hujui kwamba alipoingia kule kuna aliowakanyaga na hawakulia kwa sababu ya nguvu kubwa iliyomuingiza kwa njia isiyo saafi?

Willie @ NYC, USA.

yah tido aliajiriwa kwa mkataba wa kukitangaza chama cha mapinduzi
 
Back
Top Bottom