pascaldaudi
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 534
- 97
Kwa taarifa soma hapa Al Jazeera to launch a Swahili TV channel | East Africa Radio USABlue Balaa hawezi kujidhalilisha kwa habari kubwa kama hii, halafu iwe ya kutunga!
Naamini ni kweli, na Hongera kwa Tido...Sijasikia kama ALJAZEERA wana idhaa ya Kiswahili!
Kwa hiyo ukimsikiliza fulani unakuwa fulani, acha wehu wewekumbe unamsikiliza punga?basi na wewe punga
Sio idara bwana!!!!!! Idhaawayaweke bongo na kama hawa jamaa wakiweka idara ya kiswahili itakuwa safi hawatafuni sana maneno
- People, please suala la Tido na TBC lilikuwa ni la ajira na sio siasa, ni mambo madogo madogo kama haya ndio yanaturudisha nyuma sana hili taifa na huenda ni kwa sababu ya umasikini zaidi kwa sababu kazi yoyote unayoipata kwa ajira ya mkataba, maana yake ni kwamba mkataba ukiiisha umeisha ni uamuzi wa muajiri wako kuamua kama atakuongeza muda au hapana na wewe muajiriwa unatakiwa kuwa umejitayarisha kubaki au kuondoka!
- Tanzania tumezoea hisia za kuhamia kabisa kwenye kazi tulizoajiriwa kwa mkataba na kuamini kwamba ni zetu na ni lazima waongeze tu mkataba ukiiisha, hapana people waajiri wako wana haki kisheria kwenda njia tofauti kama wanaona hauko sawa na line yao ya sababu za kuwepo kwao kwenye biashara, inatakiwa kuwa kawaida sana hiyo na nothing to do na anything, Tido who is my very good friend, aliajiriwa na TBC kwa mkataba ambao uliiishia kwenye ku-renew, waajiri wake wakasema hawamuhitaji tena kwa sababu wanataka kwenda njia tofauti, sasa what is the problem hapo?
- I mean kwa mwendo huu Tanzania, itatuchukua muda mrefu sana kuendelea, umeona juzi Oprah, mkataba umeisha na ABC, ameamua kwenda njia yake mwenyewe badala ya kulilia kupewa mpya, ndio maana ya mkataba Lebron, mkataba ulipoisha na Cleveland, akaamua kwenda The Heat, ndio maana ya mkataba wa ajira, TBC hawakumkosea Tido na wala Tido mwenyewe hajawahi kulalalmika kwamba amekosewa!
- So what is the fuss for?
Willie @ NYC, USA.
Riziki ya mtu aidhuhiriki kwa loloteHongera zake, Mungu hamtupi mja wake.
WanaJF nimewahi kusikia kwamba yule Mtangazaji wa AJE idhaa ya Kiingereza (kabla alikuwa CNN) Bwana Riz Khan ni Mtanzania Mwenye Asili ya Kiasia, kuna ukweli wowote?
Tehe! Tehe !! Hapo umemuweza huyo kichwa maji!!Team ya Manchester City inamilikiwa na Mwarabu Mwislam; Kocha wake ni Mwarabu Mwislam, Dr. wa team ni Mwarabu Mwislam na wachezaji wote wa team ni Waarabu Waislam!! Nani anabisha?
Ndugu inawezekana hajajulishwa kuteuliwa kwake ndio maana amekanusha! Je amesema hajawahi kupeleka maombi!!Tido kakanusha rasmi hizi habari na kwa sasa yupo Iringa amefungua mgahawa source: BBC Swahili - Mwanzo
Kutoka wikipedia:Rizwan Khan - Wikipedia, the free encyclopedia
Mkuu nashukuru sana. Nimejisomea nimejionea nimejijibu
Penye njia tofauti hapo ndo nimepapenda.Najiuliza ni njia ya TvT au ya kuipendelea sana serikali na chama tawala? Hili ni shirika la umma, kila mtanzania ana-interest nalo, na watz wengi wanakubali kwamba Tirdo aliliendesha kwa weledi na ufanisi mkubwa, kutoka TvT isiyo na mvuto na iliyokuwa nyuma kiteknolojia hadi kuwa TBC inayowavutia hata waandishi(watangazaji) kutoka vituo vingine kujiunga nayo.-...Tido who is my very good friend, aliajiriwa na TBC kwa mkataba ambao uliiishia kwenye ku-renew, waajiri wake wakasema hawamuhitaji tena kwa sababu wanataka kwenda njia tofauti, sasa what is the problem hapo? Willie @ NYC, USA.