Tido Mhando aula Al Jazeeera

Tido Mhando aula Al Jazeeera

Mkuu tupe basi source ya habari yako!!! Kimsingi namhusudu sana TIDO na since alivyoondoka TBC naona television yetu inazidi kuwa ya ki-CCM in each passing day!!!!
 
Sasa wakati wa kuizika rasmi ccm ndo huu!!!
 
Tanzania tuna majembe lakini hatupendi yafanye kazi, Mfano Sita alifanya kazi yake vizuri kama spika akawakwaza wenye nchi, Tido alifanya kazi yake vizuri akawakwaza wenye TBC. Ingekuwa inawezekana mngesikia hata Sita kaukwaa Uspika nchi nyingine maana anaumudu lakini kazi yake hairuhusu kuifanya bunge la nchi nyingine
 
Nampenda huyu braza baba, anapenda maendeleo Let him be men!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mlango huu ukifungwa ujue kuna mwingine utafunguka tuu, sasa mchezo unaanza, kwani walimwonea!

Aluta Continua !
 
Huyo sosi mbona hajasema tangu lini, pamoja na yote, it sounds like a good news
 
Blue Balaa hawezi kujidhalilisha kwa habari kubwa kama hii, halafu iwe ya kutunga!
Naamini ni kweli, na Hongera kwa Tido...Sijasikia kama ALJAZEERA wana idhaa ya Kiswahili!
 
Back
Top Bottom