Watu mko deep sikujuaga ilo
hao walioshinikiza aondolewe! maana wao walitaka abihave kama Ali Mkumbwa wa dailynewsNani ametoa shutuma hizi? au wewe ndiye uliyezitoa. Tupe chanzo cha habari hii pls!
source gazeti la mtanzania la leonani ametoa shutuma hizi? Au wewe ndiye uliyezitoa. Tupe chanzo cha habari hii pls!
acha upotoshaji wewe, huu ndio mimi naita upuuzi na udandiaji teni kwambeInasemekana Tido Mhando katolewa/ kafukuzwa TBC kisa Kussuport CHADEMA kwa njia ya nyuma kipindi cha Uchaguzi. Baadhi ya Viongozi wa Juu wa CCM wanasema Tido Muhando AMECHANGIA Chama chao Kushindwa vibaya kwenye Uchaguzi na pia Tido Mhando amechangia CHADEMA kupata Nguvu ndani ya wananchi.
Kwa mfano wanasema kwa nini Hakusimamisha Kipindi cha MDAHALO Majimboni wakati CCM walishaamua kujitoa kutoshiriki Mdahalo na walishamuamrisha akisimamishe, na yeye ALIKATAA na kusema Hawezi kusimamisha kwani italeta sura mbaya kwa shirika.
Na pia wanamshutumu kwa nini Hakubase 100% upande wa CCM, pia wanamshutumu kuwa alikuwa upande wa Chadema.
Siasa imeingia kumuondoa Tido Mhando.
(Wana jamii Hizi ni shutuma za kweli au ni Hearsays tu?)
Katika hao watu wote ulio wataja hapo juu na wewe(mpenda shutuma) haupo kweli?(Nani ametoa shutuma hizi? au wewe ndiye uliyezitoa. Tupe chanzo cha habari hii pls!)
Source: Ni watu wenye kufuatilia siasa, watu wenye Uchungu wa nchii, watu mtaani na wengine CCM.....Ndio maana nimeuliza ndugu yangu @ Chibidu kuwa hizi ni kweli au ni UZUSHI tu?, kuna Ukweli wowote hapo?