Tido Mhando atemwa TBC

Ndio maana naipenda JF, kupata habari ambazo bado hazijatoka....
 
Salva anabaki Ikulu? Yeye pia aliingia Ikulu kwa staili kama ya Tido alivyoingia TVT/RTD na waliletwa na mtandao uleule!
 

Njilembera, nakubaliana na wewe kabisa, ndio maana nimesema tunapima hiyo perfomance lakini kwani tuna la kufanya basi ilhali kuna walio juu ya sheria?
Wakati mwingine nadhani tunastahili tunachokipata.
Mwache aende bana, Alifanya alichoweza na binafsi sikuridhika to the extent kuwa naweza sympasize naye.

Tatizo linakuja huyo atakayefuata naye je? Maana sitegemei maajabu yoyote so long as wenye nchi ni wale wale watalinda vyao.
 
but you should give due credit to tido alipoifikisha tbc

Look at his friend Jeff Koinange..... na vipindi vyake have you seen Capital Talk, Three Sides of the Coin The Big Story....... Now thats what I call creativity...... This is results business kulingana na package anayopata, experience aliyonayo, na kule alikotoka HE SHOULD HAVE DONE BETTER.... Hata Messi akimaliza msimu amefunga magoli mawili tu nadhani Barcelona watamfukuza (still kwenye mfano ukimnunua Messi hutegemei performance ya Peter Crouch) Ukinunua Ferrari hutegemei Speed ya Baiskeli.. Thanks Mkuu.

Even if ameitoa TBC from A to B he should have taken it to D....... Lets be optimistic and shoot for the Stars....... unajua tatizo sio kwamba we dont aim high but its because we dont aim high enough...... We are happy with Mediocraty
 
Mwache aendee!! NENDA BABA!!! wewe ulizani MAFISADI WANAUNDUGU? UNABAHATI UNGECHELEWA KIDOGO TU, WANGE KUSALOME MBATIA!! Hawana shukrani haoooooooo!!!!!
 
Generali for TBC? I am just speculating
Itakuwa muujiza. Jenerali yuko huru sana kiakili, kimawazo, kiutendaji na mtu safi kupita kiasi. Atafanya kazi na nani kwenye serikali ya CCM na CCM yenyewe?
 
Wakati anazima mikutano ya Chadema pale jangwani alifikiri ni vizuri. Mifisadi itakuwa ilikasirishwa na midahalo ya wagombea kwenye uchaguzi wa 2010.

Jamani mbona lawama zimezidi, hivi hata kama ungekuwa wewe ndio Tido, unaambiwa Rais wa nchi amesema ukatishe matangazo ungekataa kweli au unachonga tu kwa sababu wewe ni mtazamaji, acha hizo bwana, alijitahidi sana kuturusha CHADEMA
 



Ingekuwa inashindanishwa mbona kila mtu angeridhika..? but you know our country Acid.. especially the fact that our president has got no final say., and if has; a corrupted say. kuna washenzi wanamrimot control. What Tido has done for TBC and TZ kinaonekana waziwazi and in normal practice hakustahili kuwa treated that way.. WILL I BE THERE WATCHING TBC-si si em..?
For the poor Tanzania citizens I cant avoid politics.. the fighter!
 
Itakuwa muujiza. Jenerali yuko huru sana kiakili, kimawazo, kiutendaji na mtu safi kupita kiasi. Atafanya kazi na nani kwenye serikali ya CCM na CCM yenyewe?

..Utakumbuka hata Salva alikuwa safi kifikra na kiakili kabla hawaja m sandwich. Pia hata ukiangalia approach waliyoitumia kuwaficha Mwakyembe na Sitta.
 
Itakuwa muujiza. Jenerali yuko huru sana kiakili, kimawazo, kiutendaji na mtu safi kupita kiasi. Atafanya kazi na nani kwenye serikali ya CCM na CCM yenyewe?

Ohooo unacheza na hao eeeh? Wakitaka kumnasa wanaweza na kumfanya atende kadiri ya matakwa yao.

Mingu pishia mbali kwa Generali........
 
....aende zake tu,mnafiki mkubwa yule! alianza kuigeuka CCM baaada ya watu kumpigia kelele pia alisoma upepo ulivyokuwa unaenda. mchumia tumbo tu!

ai jamani mbona maneno makali hivyo, mimi naona misisa mibovu ya TZ ndio iliyo mfanya awe vile, mimi nimesikitika kwa kweli ukizingatia mwenyewe ameshtushwa. looL I hate CCM!:whoo:
 

What Tido did with TBC is just 1/5 of what was support to be done. Hatujazoea kuona vitu vyenye viwango ndo maana sifa kemkemu. Hope the next director work hard to compete with other East African News corp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…