Nightangale
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 265
- 2
i think to some extent tido knew what was facing him ahead so for him i guess he should be proud for what he has done for the organization and move forward and he should not start complaining whilst knowing kwamba alikuwa anaondoka tbc
Are you having problems with Tido or you are having problems with how he runned TBC?
Hiyo ni kweli kabisa mkuu,lakini kitu ambacho sisi kama watanzania wa kawaida ni kwamba mafisadi wananguvu kubwa sana kuliko tunavyofikiri!!Tido Mhando alikuwa biased sana .Aliwahoji wamifisadi kwa namna ya kuwasafisha. Basi akaombe kazi EATV au Clouds TV. Pole Mhando
Tido Mhando alikuwa biased sana .Aliwahoji wamifisadi kwa namna ya kuwasafisha. Basi akaombe kazi EATV au Clouds TV. Pole Mhando
nani alimuharibia btw tido ni mtu mzima so wakati anafanya uamuzi wa kuacha kazi bbc na kuja kufanya kazi tbc lazima alikuwa ameangalia positive and negative benefits za decision yake
Sasa tuanze kusubili magofu ya TBC kuondoka kwa huyu jamaa TBC inaenda jehenamu kama ATC
Vince yaani umenichekesha mpaka naskia kurelaksi maana hii habari ilinikera kiaina.Watanzania hatuna mipango ya maisha? miaka yote aliyofanya kazi bado unamshauri akawe Interviwewed ..."why do you think you are the right candidate for this post and not someone else?"
Mimi nasema atakuwa na akiba ya kutosha kujiajiri. Bora awe MC kuliko kusahiliwa na uzee huu
*Ameifanya TBC ijiendeshe kibiashara na kupunguza utegemezi wa ruzuku kutoka serikalini,ambayo kimsingi ndiyo sababu kubwa iliyoyafanya mashirika yetu ya umma kufa.
*Ameiwezesha TBC kuzalisha vipindi mabalimbali ambovyo vinaendana na mahitaji ya wakati uliyopo kwa mfano Kipindi cha pango,chelekocheleko.
Tusubiri kuona uteuzi mpya! Yafuatayo yatazingatiwa na JK:
- DINI
- Ushabiki wake ndani ya CCM na mipango yake ya 2015
- Uhusiano na JK na kina AR
- Mikakati yake katika kuhakikisha habari zinazoikosoa serikali haziwafikii wananchi
Baada ya Makamba kutoa waraka wa kuzuia wagombea wake kushiriki kwenye kipindi cha "Jombo kwa Jimbo" alitakiwa kusoma alama za nyakati kuwa nyati kajeruhiwa na hivyo angesitisha kurusha kipindi hicho, kuendelea kukirusha kulisaidia sera za upinzani kuwafikia wananchi kwa wingi na hivyo ku boost idadi yao ay kuvuna kura, (yaani kupunguza kura za CCM toka >80% to 61%)hapa kuna neno, eti wanadai ameipendelea chadema,chadema gani, wakati alikuwa anabase ccm
na nani alisema yeye kufanya kazi bbc ndo kinga ya kutositisha mkataba wake....c'mon people.
If he perfomed well and good, if he did not haya tena...
Uzuri ni sisi wenyewe tunapima hiyo perfomance yake!
Ni muendelezo tu wa kusaka na kutimua wachawi wote wa kusababisha "USHINDI WA KISHINDO" wa 61.5% na viti kibao vya ubunge kupotea upatikane :-
- Walianza kwa kuwaposa "Sii Yuu Efuuuu", kuwaoa kwa Umakamu wa RAHISI
- Wakafuata na Uspika wa Six
- Ikafuata kulichakachua kanisa la KKKT kwa kujaribu kumtindua Askofu Alex Malasusa
- baadae kukuza maneno ya udini
- then kumnunua Zi-toto avuuruge chama cha Upi-mzani (yeye na Rost Tam damdam)
- Sasa ni Tido Mhando
Unajua who's next??