Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,149
Mpendwa mama tibaijuka
salamu katika jina la BWANA WETU YESU KRISTO ALIE HAI...kwanza napenda kukupongeza kwa speed uliokuja nayo ingawa baadhi inaishiaga kuwa nguvu ya soda kwa uweza wa mwenyezi MUNGU atakupigania..mpendwa mama yawezekaana unamatarjio makubwa ya kubadilisha jiji la dar na kuweka heshima kubwa wizara ya ardhi..lakini ukweli na utabaki kuwa ukweli ni kwamba mama MANISPAA ZOTE NI CHAFU ZIMEJAA RUSHWA TUPU na Huko ardhi ni hatari tupu..labda tukueleze ukweli shida inayokuwepo ukitokea uhuni wa kiwanja wanachofanya zaidi ni kuwabadilisha so ni kumtoa mwizi temeke na kumpeleka kinondoni unataraji nini
Naamanisha ni kweli una malengo makubwa mazuri lakini kama wachafu wako chini yako hta ufanyeje kazi yako itakuwa ngumu sana na kukuhakikishia hilo ukimaliza na palmbeach njoo uone TEGETA ,MBEZI BEACH WATU WALIVYOTAPELIWA NA KUIBIWA WAKISHIRIKIANA NA WAKURUGENZI WAKUBWA ARDHI NA MANISPAA....NISINGEPENDA UINGIE KWENYE MKUMBO WA KUITWA NGUVU YA SODA AMA MANENO MATUPU NAFIKIRI KITU CHA KWANZA ULICHOTAKIWA KUPATA ADVC MAMA NI KUSAFISHA HUO UCHAFU NA KUFUKUZA WALE WOTE WALIOHUSIKA NA HIVYO VIWANJA VICHAFU KABLA YA KUDEAL NA WENYE VIWANJA..KUMBUKA KAMA WAPO UNAHISI NANI ATASEMA ALIKOSEA????
NI NGUMU SAANA NA KAMA USIPOKUWA MAKINI MAMA YANGU UTAISHIA KUTUKANWA NA WATANZANIA WALIO NA MATARAJIO MENGI SANA SANA UKIZINGATI VIWANJA VINGI VYA WAHINDI NA WAMEPEWA KWA KUTUMIA MGONGO WA RAIS WETU KIKWETE..NI WAZI ITAFIKA WAKATI UTAATAKIWA KUJKANA AMA KUKANA KAZI YAKO ILI IENDE MBELE NIKIMAANISHA HATA MAAMUZI YAKO PIA...