Tibaijuka: MAYFAIR PLAZA nayo nitaivunja!

Jee na wale maofisa waliogawa viwanja hivyo atawafanya nini? atawapandisha vyeo au?
 
Aende na Travetine Hotel!

Asibakishe na lile kanisa lililo karibu yake pale Mikumi-Watoto wameonewa sana pale, maana lile ni eneo la wazi mpaka hivi juzijuzi tuu-mbaya sana aisee, Plz mama tiba livunje hili kanisa ili watoto warejee ktk furaha yao kama ilivyokuwa.
 
Let's not count our chicks before they are hatched.... Seeing is believing..... let's wait and see......
 
Mimi siyo mtu Tarime ingawa nimewahi kulala mara kadhaa Goldlsnd iliyo Mtaa wa Nyamwaga.

Mimi naijua Tanzania, Nimeizuru kwa kutaka kuijua nchi yangu,

Ili mafisadi nijue nini wanafanya katika Nchi yangu.

Ha ha ha ha! uskatae kwako bana!
 
Nina Imani na huyu mama, ukubwa wa mwili haukuongezei ufanisi katika kazi yako, cha muhimu ni kumpatia kinga tu sababu lazima atakuwa ameshaanza kujijengea mafisadi
 
Baada ya huko nenda kabomoe TANESCO Ubungo Morogoro Road,

Kisha hamishia Hasira zako GoldLand Hotel Mandela Raod

zilijengwa ndani ya hifadhi ya barabara, ziko ndani ya hifadhi ya Barabara


Hiyo taarifa mpelekee Pombe aifanyie kazi!!!
 
chondechonde huyu mama I hope she is getting sound legal counsel tusije wakatudowan wenye majengo yao
 


Hapa hakuna kitu nguvu ya soda

Mama huyu anataka Media attention

NARUDIA TENA H-A-W-E-ZI H-A-W-EZI
 
Wakati anafanya hayo amwombe jk ulinzi na invisible escort,mafisadi wananguvu kubwa nikama wauza unga hawana huruma!
 

mimi hapa nakuwa kama tomaso wa yesu nangojea kwa hamu avunje duh kazi kweli kweli
 
Hapa hakuna kitu nguvu ya soda

Mama huyu anataka Media attention

NARUDIA TENA H-A-W-E-ZI H-A-W-EZI

What makes you think huyu mama hawezi? Na je niuulize kwani nani mmiliki wa Mayfair? Kama alinunua kiwanja cha utapeli mie naona sawa sawa tu kivunjwe kwani hakutafuta eneo la haki akajenga. Binafsi huyu mama amegusa kitu nilikuwa nakitamani muda mrefu Dar (open space) hatuna hata sehemu ya kwenda kupumzisha akili na mijikazi ya ofisini kumebakia oysterbay ambayo mafisadi pia wameichukua wanatuchaji parking fees isiyo na kichwa wala miguu. Mie namuunga mkono aendelee na spidi hii na kuikamilisha. Akiweka rekodi safi mwaka 2015 kutakuwa na kazi maana mie sio mwana CCM but akigombea guarantee ana kura yangu labda alikoroge kati kati hapa.
 
Mambo taratibu. Hata kama Dar itakuwa kama iliyopigwa mabomu, bora iwe hivyo. Wasiwasi ni kuwa huyu Mama atafikia wapi kabla hawaja "mTidomhandomize". Binafsi ninampa FIVE. VUNJA MAMA VUNJA, VUNJA USIOGOPE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…