Masanja pole sana kwa kuumia kwamba mama Tiba alipeleka mradi Muleba. Ungefurahi asiupeleke uko na apeleke wapi?
Kama ni kweli alifanya hivyo basi alifanya kazi njema kwa jamii yake na kama tukipata watz wengi UN watakaojali nyumbani tuna haja ya kufurahia wadanganyika kwenda kwenye mashirika ya kimataifa.
Lakini kama tukipeleka watu wa aina yako Masanja UN basi tuna hasara ya kutupa na hatuna haja ya kufurahia uwepo wa watz kwenye anga za kimataifa.
Nimesikia si Muleba pekee alikokuwa anafanyia kazi project zake kwenda mbele lakini hata miji ya Bukoba kwa habari ya maji, na miji ya Dar, miji kadhaa Uganda na miji kadhaa Tz ikiwamo na Dar.
Mungu akupe nafasi nyingine mama Tiba. Dumu kusaidia watz ambao kwa hakika wamejaa ufisadi kila kona na hawafurahii juhudi zako.
wandugu,
..sikilizine taarifa ya NTV iliyoletwa hapa. wanadai kuna ubadhirifu umetokea na uchunguzi unaendelea. pia Kenya walituma maombi Dr.Tibaijuka aondolewe ktk nafasi hiyo.
inasemekana kinachomtoa ni "undugunaizesheni" yaani wahaya wamejaa ofisi za nairobi hawana elimu za kutosha na kama mnavyowajua viburi vyao......
May be ni ule mradi wa nyumba HABITAT aliopeleka Muleba kule kwake kwa upendeleo!
Hebu tuambiane..ni kigezo gani alitumia kupeleka ule mradi wa nyumba Muleba ktk wilaya zaidi ya 131 Tanzania?
Jokaa Kuu, hilo la Kenya ingawa linawezekana lakini sidhani kama liko solid to merit discussion. Mama Tibaijuka amekaa Nairobi for almost ten years, inawezekana kweli NAIROBI waombe BAN Ki Moon kumuandoa akiwa amebakiza miaka less than miwili? Well inawezekana lakini nakuwa na mashaka.
Mimi naamini ukweli utafahamika, maana wenzetu wako very open. Ila mimi nimesikitika maana huyu mama..ikitokea akahusishwa na ufisadi ndani ya UN kwa nafasi kubwa kama ile (by the way ufisadi siyo kuiba pesa tuu hata kuajiri kwa undugunization, kutumia madaraka vibaya etc..ni ufisadi) litakuwa ni DOA kubwa sana katika maisha yake after UN service.
Masanja said:Jokaa Kuu, hilo la Kenya ingawa linawezekana lakini sidhani kama liko solid to merit discussion. Mama Tibaijuka amekaa Nairobi for almost ten years, inawezekana kweli NAIROBI waombe BAN Ki Moon kumuandoa akiwa amebakiza miaka less than miwili? Well inawezekana lakini nakuwa na mashaka.
Mimi naamini ukweli utafahamika, maana wenzetu wako very open. Ila mimi nimesikitika maana huyu mama..ikitokea akahusishwa na ufisadi ndani ya UN kwa nafasi kubwa kama ile (by the way ufisadi siyo kuiba pesa tuu hata kuajiri kwa undugunization, kutumia madaraka vibaya etc..ni ufisadi) litakuwa ni DOA kubwa sana katika maisha yake after UN service.
Kwa maoni yangu, kila mkuu ni lazima aje na watu wake hata kama wapambe wa waliomtangulia walifanya kazi nzuri.
Vilevile kuna tabia moja ambayo haitusaidii watanzania au waafrika wengi. Watanzania wengi wanatafuta kazi katika mashirika ya kimataifa hili wakae huko milele.
Kwa upande wa wenzetu wanafanya kazi kwa muda katika mashirika hayo na baadaye kurudi makwao au kutafuta kazi sehemu nyingine.
Kwa mfano wachumi wengi na wataalamu wengi wa mambo ya fedha katika nchi za latin America walifanya kazi IMF, World bank na sasa wanasaidia nchi zao kwa kuwa na wataalamu mahiri na wenye uzoefu wa kimataifa.
Kama mama ni mahiri kuna nafasi nyingi tu za kuziba bongo.
Mchukia Fisadi said:Eti unasema nini? Do you really mean what your talking about? labda huko kwenu latin America lakini Tanzania! watakutupa nje tu. Na hasa kama wewe si mwana SISI M. Na mark you wengine hawapendi siasa na si vema kuwalazimisha kuingia huko.
Mi nakwambia hata akija hapa JMK hatampa nafasi yoyote. Labda kama atajikomba na kuwa young fisadi.
Eti unasema nini? Do you really mean what your talking about? labda huko kwenu latin America lakini Tanzania! watakutupa nje tu. Na hasa kama wewe si mwana SISI M. Na mark you wengine hawapendi siasa na si vema kuwalazimisha kuingia huko.
Mi nakwambia hata akija hapa JMK hatampa nafasi yoyote. Labda kama atajikomba na kuwa young fisadi.
Zakumi,
..naungana na bandiko lako la hapo juu.
..hata mimi naamini baada ya ku-serve vipindi viwili Dr.Tibaijuka anapaswa kutafuta kazi sehemu nyingine.
..hivi SG wa UN si ana-serve a maximum of two terms? mama naye anapaswa kufuata mfano huo hata kama haumhusu.
Mi nakwambia hata akija hapa JMK hatampa nafasi yoyote. Labda kama atajikomba na kuwa young fisadi.
Una uhakika gani kwamba JK hatompa nafasi kama alifanya kazi kwa ufanisi huko UN?