Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Adolph Hitler alipata sympathy ya taifa hakuna alijaribu kumkosoa u c what he did is just a history.

magufuli sio mwanasiasa ni mtendaji so anaitaji check n balance otherwise it will b a danger to prosperity to our growing democracy n human right

Yes, naona vilio vya wanaoathirika na moto wa mabadiliko vimeanza.
 
Duh hata wewe unalalamika? Kweli wote tutaisoma namba mwaka huu.
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

We unavuta bangi, we si ndio kila siku ulikuwa unasema kwenye ufisadi hakuna haja ya tume wala nini na kudai huo ni mambo ya serikali dhaifu! sasa watu wanachukua hatua chadema tena mnakuka na blah blah! Tupa kureeeeeeeee! ----!
 
Comments zote zinasema aendelee kutumbua hivo hivo maana hakuna namna!
 
😀😀 inachekesha sana wanaCCM wanapoanza kuupinga uongozi wa Pombe walikua wanaushabikia hapo awali 😀😀😀😀
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Acha ukuda wewe ....Watanzania sijui mfanyiwe nini ili mridhike....Hapa Kazi Tu
 
Kwa suala la kuvunja nyumba wkt kesi inaendelea mi nadhani sio ishu sana maana kuna faida kubwa kupitishwa hilo bomba kuliko kusubiri uamuz ambao umekuwa ni wakusuasua wkt watu wanazidi kuteseka naamin wataalam watathmini wameona ni bora kulipa fidia kwa mlalamikaji endapo atashinda kesi kuliko kusubiri hukumu wkt watu wanahitaji huduma muhim pamoja na mlalamikaji mwenyewe
 
Ubabe bila akili = kufeli. Dunia ya sasa udikteta hauna tena faida, sasa ivi inahitaji mfumo mzuri, ufatiliaji mzuri, utekelezaji mzuri, uongozi bora, nk ili nchi iendelee. Kina Hitler ni wakati ule jamani
 
Nadhani bado kumuita Magufuli dicteta. Cha muhimu viongozi walioko chini yake wasiwe wakurukupukaji na hivyo kutojali utawala wa sheria. Kwa mfano ni kosa kufikiri kuwa sasa hakuna hata kupumzika ni kazi tu na hivyo eti hakuna hata likizo ili kuhahakikisha wanafunzi wanasoma bure.
 
Nilivyo anzakuisoma nikajua kuna nondo za maana kumbe kawaida sana.

Mkuu hii nchi inahitaji maamuzi magumu ambayo hata lowasa aliamini katika maamuzi magumu punguza wasiwasi tulia tujenge nchi.

Maamuzi magumu yasiyofuata sheria ni udiktata. Rais na viongozi wengine wachukue maamuzi magumu na sahihi kwa kuzingatia misingi ya sheria.
 
Ubabe bila akili = kufeli. Dunia ya sasa udikteta hauna tena faida, sasa ivi inahitaji mfumo mzuri, ufatiliaji mzuri, utekelezaji mzuri, uongozi bora, nk ili nchi iendelee. Kina Hitler ni wakati ule jamani

nimeipenda post yako. u have a nerve to sense. I salute u sir.
 
Adolph Hitler alipata sympathy ya taifa hakuna alijaribu kumkosoa u c what he did is just a history.

magufuli sio mwanasiasa ni mtendaji so anaitaji check n balance otherwise it will b a danger to prosperity to our growing democracy n human right

Sio kweli Mkuu. Hata USA kuna kipindi wanahitaji dictatorship ili waweze ku sustain u big nation wao na ku maintain ubabe wa kiuchum dunian. Tunahitaji kuwa na watu kama Magufuli angalau kwa miaka 20 hivi. Hii itasaidia kuondoa mkwamo wa kiuchum tulionao. Umewahi kufikiri hali ingekuwaje kama kikwete angepewa another 10 years au mamvi kama angeshinda.
Hii ndo faida ya kuwa na ukomo wa uongozi usiozidi miaka kumi. We believe baada ya miaka kumi ya Magufuli nchi itakuwa imelipa madeni yake yote. Itakuwa na akiba ya kutosha ya foregn current. Pengo kat ya maskin na tajiri litakuwa limepungua. Mfumo wetu wa utawala utakuwa umepewa nidham ya kutosha. Tutakuwa tumepunguza madhara ya madawa ya kulevya kwa vijana. Civil service Itakuwa imeboreshwa zaidi. Elimu Itakuwa nzuri zaidi na miundo mbinu itakuwa bora zaidi. Ni mengi tunayotegemea Mkuu. Lakini ili yote haya yatimie lazima mpate mtu jasiri anaeweza kuwaminya matajiri walipe kodi inavostahili ili kujenga uwezo wa serikali. Mtu anaeweza kuwabana majaji wasiweze kupokea rushwa. Mtu anaeweza kuwatisha wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wakafanya biashara zingine. Mtu anaeweza kuwabana vilivyo watumishi wa umma ili wasipokee rushwa na waweke kuwa active.
Huyo mtu lazima awe na chembe chembe za udictator otherwise tutakwama kama walivokwama zambia pamoja na democrasia yao lakini uchumi wao umekufa na hawajui wafanyeje mpaka rais anaitisha siku ya maombi ili wanainchi watubu mungu aisamehe nchi. Hawajui principles za uchumi wa hii dunia.
Mkuu kama Magufuli atabaki hivi hivi hawatambadilisha. Na kama mungu anaendelea kumpa uzima na ww uendelee kupewa uzima nakuhakikishia miaka kumi ijayo Tanzania hii itakuwa among 4 african giant economics. Tutakuwa mbali sana. Nakushauri tafuta muda ufanye case study ya ethiopia kwa upande wa maendeleo yake kiuchumi na kidemocrasia katika miaka kumi iliyopita uone jinsi ilivyo inversily proposional.
 
Majipu mwaka huu hata mkisema vipi huo uvimbe uliokuwa umekubuhu lazima utumbuliwe. Wewe ukisikia mtu anapiga kelele ujue jipu alilokuwa analitunza kwa muda mrefu dactari kashaaliona na kama hajalitumbua basi upo kweke foleni lazima uingie chumba cha doctor utumbuliwe bila ganzi. Tii sheria utakuwa salama

Acha wanyooke tu. Walizoea kula bila kunawa
 
Nakaa najiuliza hivi sisi watanzania tumelogwa au? Leo watu wanamwita Jpm dictator, Hivi yale maamuzi magumu waliokuwa wanataka nice yapi, mzee wa watu Anarudisha nidhamu kazini na kupunguza kutembeza bakuli nje watanzania uchwara wanasema udictotor, ujerumani ni nchi iliyoendelea lakini watu wanafanya kazi hakuna hata Muda wa kusalimiana eti hili taifa maskini watu wanataka kwenda kula X-mass kwa uchumi upi hasa mkale X-mass? leo hajawahi kusikia ujerumani imetetereka kiuchumi na haya ni matunda ya Hitler leo him ujerumani nzima inafurahia. Magufuli usije moyo baba pambana Tupo nyuma yako na tunakuombea ukombozi kwenye wakati Mgumu kutambua jipu si mchezo linauma.
Yaani hata hela za wabunge kula raha mlitaka muswada upelekwe bungeni wakati mama na wake zetu wanajifungulia chini. Kamooooooooon fikirini na tumuunge magu mkono. Na nyie wakuu wa mikoa pigeni kazi, makonda piga kazi mtumishi akileta mambo ya hivyo piga ndani.
 
Ndio huyo huyo tunamtaka

Baba pombe Uzi ndio huo huo muhimu kufata sheria za nchi usimuonee MTU mwisho nahisi mafisadi tuwatie kitanzi ndio heshima itarudi bado nakudai mahakama maalum kura sikukupa ila 20 utapata ikiwa kazi itakuwa hii sio vijana baadae wake wakuchezee sharubu sitokupa kura yangu haya ndio mabadiliko nikiyataks
 
Back
Top Bottom