Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Kwahiyo ulitaka afanyaje aunde tume?

Kufuata sheria hakumaanishi kuunda tume. Nachosema Rais au kiongozi mwingine yeyote wa nchi hii atekeleze majukumu yake (hata kama ni maamuzi magumu) kwa kufuata sheria za nchi yetu; vinginevyo utakuwa ni udikteta. Kumbuka rais na viongozi wengine wa juu huapa kutekeleza majukumu yao kwa kufuata katiba na sheria za nchi. Kama katiba haimruhusu kutenda anavyoona inafaa basi apelike bungeni mswada wa sheria mpya au kubadilisha sheria iliyopo.
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Bado hii ni trailer, mlipokuwa mnaambiwa siku zenu zinahesabika mlitegemea nini?
 
assadsyria3

Sijaelewa kwanini mambo uliyoyataja umeyahusisha na Magufuli moja kwa moja, inawezekana anahusika au hausiki nayo. Naomba nikuulize, haya yanafanyika kwa maslahi ya nani?

Nikuulize pia, haya yaliyofanyika kabla yalifanyika kwa maslahi ya nani?

1. Vitisho na hofu
Kuuwawa kwa Mwangosi na kuteswa kwa Ulimboka vyote vilikuwa ni vitisho na vilileta hofu

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
Mara ngapi wapinzani waliwekwa ndani kama Lema, vipi kupigwa kwa Lipumba akijaribu kuzuia maandamano

4UBABE NA JEURI.
Wakuu wa mikoa, ma RPC ni mara ngapi wamefanya maamuzi ya kibabe hapo kabla?

Tafakari!!!
 
Last edited by a moderator:
ushaingia rasmi kwenye ignore list yangu, fisadi mkubwa na mzandiki wewe

lazima magufuli akukamate tu maana hakuna namna

unafikiri utapunguza kasi yake kwa posy yako dhaifu kama hii??
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Mi nadhani kabla ya kuandika jambo ni vizuri ujue na sheria za nchi kidogo.mkuu wa wilaya anayomamlaka ya kumuweka mtu ndani kwa masaa kadhaa hasa anapokiuka taratibu sheria na miongozo ya kazi yake.

Kuhusu unachokiita ubabe au udikteta wa rais nadhani either hujui au unajifanya kipofu na asiye na uelewa na wapi tulikotoka. Nchi hii tulikofikia sasa inahitaji rais kwenye element za kidikteta hasa kwa wale ambao wamegeuza nchi hii kuwa mgodi wao. Labda niulize kuna udikteta gani kuwabana wazembe na wakwepa kodi. Kuna udikteta gani kuhakikisha kila mtu anarudi kwenye mstari?

Nchi hii tulifikia mahali kila mtu ni bosi na anafanya anachotaka au kujisikia. Ukienda ofisi za umma kuanzia secretari ni bosi. Hata saini tu unaweza kuchukua mwezi ndio usainiwe.

Kwa hali hii tunahitaji warm up au kichurachura ili kuondoa ugoi goi. Taifa la walegevu huzaa wazembe na wasiowajibika. Kama kuna kiongozi ambaye aliwazoesha kubweteka zama zake zimekwisha.
 
Nyumba toka 1986 IPO Leo inavunjwa mnafurahi.ebu muwe na huruma kwa wtz wenzenu kuna msemo ukinyoosha kidole kimoja kwa mwenzio kumbuka vinne vyaja kwako labda uwe unapanga iko siku na wewe utaambiwa huna ramani

well said
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Magufuli ana kazi. Haya majipu yapo mengi. Tumwombee jamani.
 
Mbona unatulazimisha na kutukumbusha tumkumbuke Kikwete kila siku? Kama kuna haja ya sisi kumkumbuka si tutamkumbuka tu?
Jambo jema hukumbukwa siku zote hivyo hili la kutukumbshia kila siku kwamba tutamkumbuka Kikwete ndiyo udikteta unaouongelea kwa maana unataka ulazimishe matakwa yako kwetu wakati tunapaswa kuamua sisi wenyewe kama Kikwete anastahili kukumbukwa ama la na kwa lipi Jema au Baya!
 
Msimu wa ngonjera na maigizo unayoyasima ndio yaliyotufikisha hapa tulipo, kwa sasa hayana nafasi tena kama na wewqe ni jipu jisalimishe mapema kama hujatumbuliwa bila ganzi.
Kiongozi dictator ni kiongozi ambaye anaweza kufanya maamuzi yoyote bila kuulizwa na mtu au kupingwa, either maamuzi yawe mazuri au mabaya. Kwanza kabisa katiba ya Tanzania(hata kama haipo poa) lakini bado hairuhusu raisi kua dictator. Kwahiyo magufuli sio dikteta na akiwa basi atakua anavunja sheria na katiba pia.....
Sasa wewe unapokuja kwenye mtandao afu unaanza kufurahia "Tanzania tumepata kiongozi mzuri, kiongozi dikteta" unakua unakosea kwani kiongozi mzuri siku zote sio dikteta. Kiongozi mzuri ni yule anaongoza vizuri kwa kuheshimu na kufuata katiba na sheria.....
Hadi sasa naona magufuli anachofanya ni sahihi lakini kwahyo sio dikteta
 
ck utakapovunjiwa nyumba kinyume cha sheria itaelewa,ck utakapofukuzwa kisa ulimpeleka mkeo hospitalin utaelewa maana ya sheria ni nn

Mpaka Sasa hakuna mahali yalipotendeka haya uyasemayo, unless kama una personal interest...
 
Kufuata sheria hakumaanishi kuunda tume. Nachosema Rais au kiongozi mwingine yeyote wa nchi hii atekeleze majukumu yake (hata kama ni maamuzi magumu) kwa kufuata sheria za nchi yetu; vinginevyo utakuwa ni udikteta. Kumbuka rais na viongozi wengine wa juu huapa kutekeleza majukumu yao kwa kufuata katiba na sheria za nchi. Kama katiba haimruhusu kutenda anavyoona inafaa basi apelike bungeni mswada wa sheria mpya au kubadilisha sheria iliyopo.

Katiba inampa mamlaka rais kufanya maamuzi hayo pia.
 
bwanaee,hata sisi wengine chadema pia lakini huyu jamaa anafanya kazi kweli,embu tujenge nchi yetu bana
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

dah! Pumbavu peleka kwa mkeo huo ujinga
 
conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .
Kwa nchi zetu za afrika ni ngumu sana kuendelea bila kua na elements za ubabe...kiongozi anapokua "muelewa" tunapata product kama ya the last 10 years.
Unaposema tatizo ni mfumo sasa ili kuubadilisha inabidi awaache wale wadaifu? Kwasababu ni "mfumo" ndio umewalemaza? Na huo mfumo ni nini? Nguzo za umeme?
 
ninahisi jipu limepasuliwa ...!!! tulia tu sasa dawa ikuingie vizuri .....
 
Piinda alipisema "wapigwe tu..." sikukuona ukipost kitu kama hiki. Anyway, ila kwa Tanzania ilipofikia hatuhitaji raisi anaechekea wazembe.
 
Mtoa maada acha ujinga.. Yaani conteiners 349 zimepita bandari na tra wakiwepo halafu hawakutoja ushuru unasema wasiguswe kwa sababu ya haki za binadamu?acha ujinga kabisa. Tunataka dictator ambaye anafuata sheria. Kunawatu wamepitisha sukari bila kodi sasa eti wasiulizwe. Mjinga wewe

Mkuu umeanza kutumia Jf leo??
Mbona unachoongea ni tofauti na kilichopo kwenye hili bandiko??
Naona una stress nenda kapunge upepo wa bahari kidogo
 
Kufuata sheria hakumaanishi kuunda tume. Nachosema Rais au kiongozi mwingine yeyote wa nchi hii atekeleze majukumu yake (hata kama ni maamuzi magumu) kwa kufuata sheria za nchi yetu; vinginevyo utakuwa ni udikteta. Kumbuka rais na viongozi wengine wa juu huapa kutekeleza majukumu yao kwa kufuata katiba na sheria za nchi. Kama katiba haimruhusu kutenda anavyoona inafaa basi apelike bungeni mswada wa sheria mpya au kubadilisha sheria iliyopo.

Unaweza kunitajia mpaka leo hii kuna sheria ipi Raisi wa JMTZ ameivunja?
​
 
Back
Top Bottom