Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .
 
Adolph Hitler alipata sympathy ya taifa hakuna alijaribu kumkosoa u c what he did is just a history.

magufuli sio mwanasiasa ni mtendaji so anaitaji check n balance otherwise it will b a danger to prosperity to our growing democracy n human right
 
Majipu mwaka huu hata mkisema vipi huo uvimbe uliokuwa umekubuhu lazima utumbuliwe. Wewe ukisikia mtu anapiga kelele ujue jipu alilokuwa analitunza kwa muda mrefu dactari kashaaliona na kama hajalitumbua basi upo kweke foleni lazima uingie chumba cha doctor utumbuliwe bila ganzi. Tii sheria utakuwa salama
 
kinachofurahisha kama ataendelea na unachoita udikteta watakaoteseka ni viongozi waliopo madarakani na hasa waliowekwa na Kikwete ambao wamepigiwa kelele sana kwamba ni dhaifu na mizigo
 
Mtoa maada acha ujinga.. Yaani conteiners 349 zimepita bandari na tra wakiwepo halafu hawakutoja ushuru unasema wasiguswe kwa sababu ya haki za binadamu?acha ujinga kabisa. Tunataka dictator ambaye anafuata sheria. Kunawatu wamepitisha sukari bila kodi sasa eti wasiulizwe. Mjinga wewe
 
Adolph Hitler alipata sympathy ya taifa hakuna alijaribu kumkosoa u c what he did is just a history.

magufuli sio mwanasiasa ni mtendaji so anaitaji check n balance otherwise it will b a danger to prosperity to our growing democracy n human right

sometimes democracy ni utumwa sana bora udictator akitaka kuamini aangalie nchi kama Germany maendeleo yake hiyo ni moja ya impact ya Adolf
 
kama udikteta wenyewe ndio huo wa kuchukua fedha za sherehe na kununulia vitanda vya hospital aendelee tu na huo udikteta.

watu wanakwepa kodi hatua zikichukuliwa mnalalamika kama hamtaki watu walipe kodi pekekeni mswada bungeni kodi zote zifutwe.

kuongoza watanzania ni shughuli ngumu sana.
 
Ujerumani mpaka leo wanamuheshimu Adolf maana amejenga misingi ambayo imeifanya ujerumani kuwa powerful nation in Europe.

In Tanzania we need a man who can shape the government for just five years only.

Tukiisha nyooka tuendelee na utawala wa sheria.
 
Acha awe suffered,,

Ila kwa ishu ya Mawazo hivi kunasababu gani ya kuizungusha maiti vile Kesha kufa kafaa kumzungusha hivyo si fear but angezikwa tu
 
Nilivyo anzakuisoma nikajua kuna nondo za maana kumbe kawaida sana.

Mkuu hii nchi inahitaji maamuzi magumu ambayo hata lowasa aliamini katika maamuzi magumu punguza wasiwasi tulia tujenge nchi.
 
Kama demokrasia tunayoipigania ni hiyo ya kuwaacha watu wachache kuwaibia wengine bila huruma tena kwa kutumia dhamana na madaraka waliyopewa basi ni bora nchi iendeshwe kidikteta tu.

Ni bora udikteta unaokomesha wizi kuliko demokrasia inayojenga na kulea wizi.
 
Back
Top Bottom