Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

wakati wa uanzishwaji wa vijiji vya ujamaa nyerere alikuwa anatoa maagizo kina kawawa wanatekeleza vingine .tutegemee maagizo ya magufuli yakipotoshwa na kina amos makalla, wanaposikia hapa kazi tu wanadhani watu walale maofisini. viva magufuli kusanya kodi ndio itakayokupa kiburi kwenye utawala, lakini kuwa macho na wasidizi kama kina makalla wanaokurupuka.. tungemuelewa angesitisha likizo za watu wa tra, lakini mimi mfagizi tu ,ananionea
 
Wezi,wauza madawa ya kulevya na wasio waadilifu ndio hawampendi Mr President JPM. Tunasena na awe dikteta ndio sawa maana mmekuwa sugu. Ningefurahi awanyonge kabisa
 
kama udikteta wenyewe ndio huo wa kuchukua fedha za sherehe na kununulia vitanda vya hospital aendelee tu na huo udikteta.

watu wanakwepa kodi hatua zikichukuliwa mnalalamika kama hamtaki watu walipe kodi pekekeni mswada bungeni kodi zote zifutwe.

kuongoza watanzania ni shughuli ngumu sana.

Umekosea mkuu kinachoongelewa sio kontena hapa.
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Mkuu assadsyria wewe utakuwa mmoja wapo wa watendaji au ndugu wa mtendaji ambao wamezolewa na mabadiliko ya magufuli nawasiwasi na wewe
 
Udicteta kwa manufaa ya taifA ...refer pr.kagame
 
CHABURUMA aje ajibu tuhuma za kiwakamata watu na asiwapeleke mahakamani
 
Attachments

  • 1448792667841.jpg
    1448792667841.jpg
    35.9 KB · Views: 134
mkuu acha kupotosha jamii, kwanza taja sheria unazozijua zimevunjwa, sheria za kazi, au mikata ya kazi, pia wapi rais kaenda kinyume na matakwa ya kazi za rais wa jamhuri ya tanzania, au sera za chama, au ilani yao ya uchaguzi. Tufungue macho mkuu....hebu siku moja nenda Rwanda halafu tamka katika mitandao yao kwamba kagame ni dikteta... You will learn something......Mpe moyo rais kijana...muache a create huge middle class....utaipenda tanzania
 
Uzi huu ni wa kitoto sana. Mleta mada amekuwa na uelewa mdogo sana wa hata alichokiandika.
 
magufuli anapambana na watu si mfumo kumbukeni watu ndo wanatengeneza mfumo na mfumo unatengeneza matokeo sasa kama unapambana na watu matokeo yatakuwa Yale Yale no changes
 
Nyumba toka 1986 IPO Leo inavunjwa mnafurahi.ebu muwe na huruma kwa wtz wenzenu kuna msemo ukinyoosha kidole kimoja kwa mwenzio kumbuka vinne vyaja kwako labda uwe unapanga iko siku na wewe utaambiwa huna ramani

Sasa ulitakaje Watu zaidi ya milioni mbili (2 000 000) tukose maji ya kunywa kwa sababu Binadamu mmoja amejenga Nyumba yake kwenye njia ya maji kisa Ubinadamu?
Kama swala ni Ubinadamu ni kwa nini mwenye nyumba asibomoe nyumba yake kwa hiari ili watu milioni Mbili wapate maji? Kuna ubinadamu zaidi ya huwo?
isitoshe amejenga kwenye njia ya maji na hairuhusiwi kisheria hili alilijua tangu hata hajaanza kujenga!

Serikali huwa haikurupuki hata siku moja na Magufuli alishawahi kusema kama br. au mradi ukikufwata utalipwa fidia lkn kama umeifwata br. au mradi basi hakuna kulipwa fidia!

Eti kama macho yana tongotongo kanawe kwanza,nikadhani ataongea cha maaana
 
Tanzania siyo Sweden or Denmark, unajua Singapore imeendeleaje? Soma historia ya Singapore baada ya uhuru na PM wao
Check n.balances peleka kwenye makatarasi ya mijadala ya kitaaluma. Tz hatuhitaji katiba ya kugawana madaraka which means kugawana ulaji na kuongeza ufisadi na.ubabe wa taasisi na mihimiki mingine ya dola.

Vilevile angalia kenya na progressive constitution yao bado wanalalamika hamna kinachoenda au nafuu ya maisha...bunge linataka nguvu zaidi na kuziabuse, rais anahonga wabunge wasifukuze mawaziri,the more things change the more they remain.the same.
Africa na Tanzania tuna mazingira yetu na tamaduni zetu hatuhitaji too liberal or progressive constitution kuendelea kijamii na kiuchumi tunahitaji upeo, na.participation na elimu ya wananchi iongezeke kwanza na capacity ya tassisi za kitaifa kuinuliwa na strong executive kwanza ndiyo baadae tena baadae sana tupate hiyo katiba unayoitamani wewe...
Hatuwezi tukawa na tume huru ya uchaguzi huku Rostam akiwa na uwezo wa kuihonga yote bila kipingamizi chochote na.kutuwekea rais wake
Hatuwezi tukawa na tax boss anashiriki upotevu au uzembe na executive hawawezi mfukuza hadi msururu mrefu wa kikatiba utakaopitia wapi sijui bunge au mahakama au kamati mojawapo ya katiba
Hatuwezi tukawa na bunge lafi litakalojipangia posho zake na kujiongozea nguvu nyingine za kikatiba huku executive ikiwa butu inaangalia tu

Jipange upya Assad wa Syria kama umetumwa wafikishie ujumbe maboss wako

You have said it very well. Wanaolalamika ni vile walikuwa wananufaika na huu uozo
 
Acha wanyooke tu. Walizoea kula bila kunawa
Kelele zote hizi hata 0.000000001 ya majipu hayajatumbuliwa zoezi ndio limeanza tutasikia mengi mwaka huu, hili ni jiwe linatupwa gizani ukisikia kelele ujua kuna mtu limempata, ndugu yake, baba yake au rafiki yake.
 
Aendelee tu na udikteta ili Kila mtu aweze kutimiza wajibu wake ipasavyo.
Kama kweli Rais Maghufuli ni Dikteta (kwa mtazamo wako mleta mada ) basi kutoka ndani ya moyo wangu NASEMA ENDELEA NA HUU UDIKTETA MHE RAIS WANGU MAGHUFULI. Hii nchi inahitaji uongozi kama huu wako.
Na nakuomba sana Mhe Rais ENDELEA TU KUTUMBUA MAJIBU HATA USIYASAHAU YALIYOPO USONI,KINYWANI NA KOONI KWAKO ILI NCHI NA WANANCHI WAKE TUSONGE MBELE
Ifike mahali keki ya taifa tufaidi wote, mfano hata masikini aifaidi keki kwa Kupata Huduma bora hosp, mwanae apate elimu bora,maji ,umeme vyote viweze kupatikana .
Hao wanaokuona wewe dikteta ndiyo majipu yenyewe hayo...YATUMBUE TU.
MUNGU AKULINDE , AKUPE UHAI MREFU UKIWA MWENYE AFYA TELE. WAPENDA MAENDELEO YA HAKI WOTE MSIACHE KUMWOMBEA......HAPA KAZI TU .
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Unataka Magufuli awe checks n balance na Kamati kuu ipi? Ili iweje? Urais una ubia?
 
Majipu mwaka huu hata mkisema vipi huo uvimbe uliokuwa umekubuhu lazima utumbuliwe. Wewe ukisikia mtu anapiga kelele ujue jipu alilokuwa analitunza kwa muda mrefu dactari kashaaliona na kama hajalitumbua basi upo kweke foleni lazima uingie chumba cha doctor utumbuliwe bila ganzi. Tii sheria utakuwa salama

Upo sahihi kabisa, Naungana na mawazo yako kwa 100%++++.
 
Back
Top Bottom