Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Tibaigana: Nchi inahitaji Rais dikteta

Umesema tatizo ni mfumo, ndio huo ambao rais anaufumua sasa au mfumo ulidhani ni sehemu au machine fulan? Mfumo ni Hao watu walivyojipanga ktk kadhulumu mali ya umma, so ww kama umeguswa na hii operation kajipange upya, it's a new dawn and new Era
 
Ujerumani mpaka leo wanamuheshimu Adolf maana amejenga misingi ambayo imeifanya ujerumani kuwa powerful nation in Europe.

In Tanzania we need a man who can shape the government for just five years only.

Tukiisha nyooka tuendelee na utawala wa sheria.

Acha kukurupuka wewe, ujerumani ipi unayoizungumzia? umewahi kufika ujerumani? unafahamu kuwa wanamchukia Hitler kuliko kitu chochote? unafaham kuwa bendera yake ikionekana unafungwa? unafaham ile ishara yao ya kinaz ukiionyesha una kesi ya kujibu? acha kusikiliza story za vijiweni

BTW anachofanya Magufuli nakiunga mkono kwa asilimia zote
 
Ni kawaida ukikabidhiwa taasisi au shirika au serikali ambayo haifanyi vizuri kukidhi nahitaji ya wadau kwa kuwapatia huduma au bidhaa tarajiwa, unapaswa kufuata utaratibu wa kuwezesha matokeo chanya yatokee kama anavyofanya magufuli. Nampongeza na wala si udikteta Bali ni utaratibu tu wa kulipatia tiba taifa hili lililokondeshwa na kubakia mifupa.
Kuzuia likizo si kukataza likizo. Likizo hutolewa endapo likizo hiyo haiharibu utendaji kazi wa kila siku.
Wakati huu wa kujipanga kutimiza ahadi zake kwa taifa, ni vema kila mtu serikalini haswa wakubwa wabaki ili kutekeleza maagizo wanayopewa.
 
Wezi,wauza madawa ya kulevya na wasio waadilifu ndio hawampendi Mr President JPM. Tunasena na awe dikteta ndio sawa maana mmekuwa sugu. Ningefurahi awanyonge kabisa

Hao ndiyo wanaanzisha mada za kuuponda uongozi wake ksb mirija yao inaanza kuzibwa au imezibwa kabisa.
TUMBUA TU MHE RAIS WALA USIMWANGALIE NYANI USONI....WATANYOOOKA TU.
 
Kiongozi dictator ni kiongozi ambaye anaweza kufanya maamuzi yoyote bila kuulizwa na mtu au kupingwa, either maamuzi yawe mazuri au mabaya. Kwanza kabisa katiba ya Tanzania(hata kama haipo poa) lakini bado hairuhusu raisi kua dictator. Kwahiyo magufuli sio dikteta na akiwa basi atakua anavunja sheria na katiba pia.....
Sasa wewe unapokuja kwenye mtandao afu unaanza kufurahia "Tanzania tumepata kiongozi mzuri, kiongozi dikteta" unakua unakosea kwani kiongozi mzuri siku zote sio dikteta. Kiongozi mzuri ni yule anaongoza vizuri kwa kuheshimu na kufuata katiba na sheria.....
Hadi sasa naona magufuli anachofanya ni sahihi lakini kwahyo sio dikteta
LEMAYAN nafikiri hasira zako ni ndugu yako LENGWANAN kukosa uraisi na wala sii Wwakwepesha kodi bandarini kufukuzwa, mkurugenzi mzembe wa hospitali kutimuliwa, nyumba zilizojengwa ' NO PARKING ' kuvunjwa ama sivyo?
 
Mkuu mtoa hoja, mimi nakuelewa sana hoja yako. Hoja yako ni ya msingi. Mfano mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro anastahili kulimwa barua toka ngazi za juu aulizwe ametumia kifungu gani cha madalaka aliyonayo kufuta likizo zilizopo kisheria?
Huu sio udikteta, ni kujikomba kwa mkubwa maana kwenye uteuzi ujao huenda akarudishishwa kwa mwajili wake makumbusho.
Kubomoa nyumba inayozuia upatikanaji wa maji hii naunga mkono. Huyu bwana alitumia ubabe wake kifedha na uhusiano wake wa kifisadi kujenga nyumba mahali pale. Wakati mwingine ufisadi dawa yake ni ubabe sio mahakama.
Mfano mwingine ni hiki kituo cha mafuta cha Big Bon kilichopo Sinza. Lile ni eneo oevu, lakini mhusika kwa fedha amejenga sasa yatakapotokea mafuriko hakutakuwa na cha mahakama wala sheria ya kuyazuia.
Ili tuende mbele lazima tuchanganye vyote udikiteta wa kimaslahi mapama ya taifa na democrasia
 
magufuli anapambana na watu si mfumo kumbukeni watu ndo wanatengeneza mfumo na mfumo unatengeneza matokeo sasa kama unapambana na watu matokeo yatakuwa Yale Yale no changes

Ivi umesoma ulichoandika?
Sasa kama watu ndio wanatengeneza mfumo iweje tena akipambana na watu mfumo ubakie the same?
Watu ndio hujenga/ kubomoa taasisi.
 
mwl Nyerere once a time alisema km nigetaka kuwa dicteta ningeweza. hivi sasa watanzania tumepata upofu wala hatuoni tena. nimewahi kusema kwenye post zangu kuwa IPO ck watanzania watamkumbuka rais kikwete.

kwanini niseme ivo, twende pamoja na kama unamatongotongo kanawe,na kama umemeza viroba kaa mbali na hii post,only great thinkers.

1. Vitisho na hofu
ukubali au ukatae magufuli sasa anaogopwa na amejaza hofu wananchi haswa wafanyakazi na wafanyabiashara. kumbekeni Adolph Hitler alishinda uchaguzi wala hakupindua serikali pia alipata public sympathy hata pale alipokesea. tazama sasa hata hii post kuna watu watakosoa bila kujali relevance yake.

2. KUVUNJWA KWA HAKI ZA BINADAMU.
hivi sasa unaweza kuweka polisi bila kushtakiwa mfano. hivi jeuri ya Paul Makonda yakumweka MTU kizuizini bila kumpeleka mahakamani ni uvunjaji wa haki za binadamu. sasa ivi kila mkuu wa wilaya anaamua tu kwa ubabe hats bila kuangalia haki za binadamu.

3.KUVUNJWA KWA UTAWALA WA SHERIA.
KUNA uvunjaji wa sheria wazwazi huku wananchi wakichekelea. mh magufuli binafsi alidai atavunja nyumba ambayo inazuia bomba la maji hata km kesi IPO mahakamani kisha watu wanachekelea hii no hatari. kuna bomoa bomoa ambazo zinaendelea hata km kuna pingamizi la mahakama zinavunjwa tu kwa jeuri. pia polisi mwanza walivunja sheria kuzuia kuagwa kwa mawazo.chekeleeni lakini lilikufika u will understand the rule of law what does it mean?. kuna mkuu wa wilaya geita amefukuza kaxi daktari bila kufata utaratibu wa Sheriakupitia kwa mwajiri yani mkurugenzi. OK just laugh and enjoy but it will b u one day

4UBABE NA JEURI.
BAADJI ya viongozi sasa wamejawa na ubabe na jeuri ambayo ni sifa ya madikteta. hatuitaji viongozi wababe. tunataka mifumo iliopo wazi kuanzia mtaani hadi wilayan km sio taifa. MTU anawezeje kufuta likizo ya mtumishi ambayo ni haki yake km so jeuri na ubabe nothing else u can say.

conclusion.
Naomba tuangalie mifumo ya uongozi na utawala wa nchi yetu. kuliko magufuli kuwafukuza watu kila siku tatizo sio watu ni mfumo. napendekeza katiba mpya ipigiwe kura ili ianze kutumika. tuache ubabe na vitisho. Magufuli asipowekewa check n balance na kamati kuu believe m he will be a dictator .

Nyie mafisadi inatakiwa mchinjwe kabisa.
Watanzania wamechoka sana kwa kukosa huduma muhimu kwa ajili yenu.
Mungu amlinde sana Magufuli.
 
LEMAYAN nafikiri hasira zako ni ndugu yako LENGWANAN kukosa uraisi na wala sii Wwakwepesha kodi bandarini kufukuzwa, mkurugenzi mzembe wa hospitali kutimuliwa, nyumba zilizojengwa ' NO PARKING ' kuvunjwa ama sivyo?
Hahahahahaa. Lakini mbna tulikuwa tunabishana facts hapo na hatukumzungumzia EL!
 
Tunamuhitaji huyo huyo dikteta wetu jpm ..hao viongozi waliofuata rule of law wametufanyia nini cha maana..viva jpm vivaaaaaaa
 
Hahahahahaa. Lakini mbna tulikuwa tunabishana facts hapo na hatukumzungumzia EL!
EL ndio nani mimi sijamtaja na wala simjui mimi nimeusisha tuu mfanano wa majina ya LEMAYAN na LENGWANAN kwa uzoefu wangu wa kuishi kanda ya kaskazini
 
Team CCM waliobaki hapa JF ni Lizaboni . Wengine kama FaizaFoxy Ritz wamepotea. Huyu mleta uzi moto wa Magu umempitia.
 
Last edited by a moderator:
Team CCM waliobaki hapa JF ni Lizaboni . Wengine kama FaizaFoxy Ritz wamepotea. Huyu mleta uzi moto wa Magu umempitia.
 
Last edited by a moderator:
Katiba anayetumia JPM ndiyo hiyo aliyotumia Kikwete. Kama Kikwete hakuwa dictator, kwa nini JPM ndiyo awe hivyo?
 
Mtoa mada inaonekana kama huna jipu basi ndugu yako au baba yako ana majipu yanayotakiwa kutumbuliwa Dk. Magufuli. Tanzania kwa sasa tunahitaji rais dikteta haswa.

Kama mtu mmoja anajenga nyumba juu ya miundo mbinu ya maji na kuzuia watu milioni 3 kukosa huduma ya maji, halafu wewe unatuambia eti utawala wa sheria ufuatwe? Ni bora mtu mmoja afe kuliko watu milioni 3 wafe kwa ajili ya mtu mmoja.

TRA wanapokea rushwa na kuachia makontena 349 kupita bila kulipiwa kodi, halafu wewe unatuletea mambo ya utawala wa sheria? *** you and your rule of Law!

Viongozi wanaidhinisha mabilioni ya shilingi kusheherekea sikukuu za Uhuru wakati wagonjwa mahospitalini wanalala chini na hakuna dawa halafu wewe unasema eti Dk. Magufuli ni dikteta? You are not serious men!

Wacha Magufuli awe Dikteta hasa, tena mimi nataka awe Dikteta zaidi ya alivyo sasa hivi. Hii nchi bila watu kutandikwa viboko na kuwekwa vizuizini mambo hayataenda sawa.

Tena mimi ningekuwa ndio Dk. Magufuli, watu wote tunaowakamata kwa ubadhilifu wa mali ya umma, ningeamuru wapigwe risasi hadharani bila hata ya kupelekwa mahakamani. Hapo ndio mngekuwa na adabu. Pumbavu kabisa.
 
Back
Top Bottom