Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

Mwaka 2013 December karibu na mwaka mpya nilishikwa maumivu makali katika yangu ya kulia nilienda haspitali ila wakaniuliza kama nimeshawahi kusex hv karibun,wakanipa madawa ya pink ambayo nlitumia sku 2 bila kuona dalili zozote za kupona.Shemeji yangu alinipa dawa ya miti shamba nkatumia haikunisaidia,hadi nilipoenda kwa bibi yangu tengeru sku ya pili alinichemshia dawa na asubuhi ya siku ya tatu nlipona kabisa.alinisisitizia niendelee kuitumia maana inatibu vitu vingi.Siku moja moja nlikuwa natoa uchafu ninapokojoa,uchafu kama manii hv ila skuwa na maumivu,Baada ya sku kupita nikagundua hili pumbu linapungua ukubwa na linakuwa gumu bas nikaendelea na ile dawa ila pumbu lilipungua hadi saiz ya gololi za watoto wanazochezea.Wakati huu nilikuwa naskia maumiv kidogo ya sekunde kama 30 hv upande wa pumbu ambayo haikuugua.nilisoma internet na kujua tatizo langu ni ngiri ila nilikuwa na matumaini kwa sababu nasex na mpenzi wangu ninatoa manii na ninamridhisha.ila jana usiku nilikuwa nina ham ya kufanya mapenzi sana ilipofika mida ya saa 5 usiku huku uume ukiwa umeamka niliskia yale maumivu nliyopata mwanzon kama yanaanza kuja taratibu upande wa pumbu la kushoto ambalo halikuugua.Watu wengi wananiambia hospitali hamna dawa zaidi ya kufanyiwa upasuaji.NAOMBENI USHAURI WENU PLEASE
 
Sasa unapaka asali kwenye uume kila unapotaka kufanya tendo la ndoaa au unapaka katika hali ya kawaida....
 
habbat sawdaa,kwa kiswahili inaitwaje?
 
Ahsanteni sana kwa taarifa na elimu nzuri kuhusu Habbat Sawdaa! Je hapa Tanzania inapatikana wapi?


inategemea uko wapi kama dar kariakoo karibu na soko kuu kuna maduka mengi ya daw za kisunna hapo unapata.
mie nimetumia sana imenisaidia kupunguza uzito kutoa gesi tumboni pamoja na kupata haja kubwa katika mpangilio mzuri, kama uko mkoa jaribu kwenye maduka ya dawa za kisunna mengi saana yanakuwa karibu na misikiti.
 
Maneno umetuletea mazuri na ya manufaa lakini jibu sahihi ni pale MTU atajaribu.
Nina swali au tatizo. Nina allergy na Swali nitaganyaje niweze kuitumi combination hiyo?
Nikola asali tumbo inauma baadae huvimba vtmba mwili kama MTU alieumwa na mdudu na ladha ya mawili hubadilika nisiweze kulavkiru tens hata kwa masaa mengine sita au saba.Nile ushauri.
 
Nimewaelewa wakuu wangu,,
lakini tatizo ni pale tu watu wanapokuwa wagumu kuiamini tiba ya gharama ndogo, kwani wengi wameamini kwenda nchi za nje ndio kupona kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…